Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Duh kweli mkuu, watu wamekaririshwa hivyo. bila kujali, mabadiliko ya tabia nchi.Hakuna mateso makali kama kuwa na akili mgando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kweli mkuu, watu wamekaririshwa hivyo. bila kujali, mabadiliko ya tabia nchi.Hakuna mateso makali kama kuwa na akili mgando.
Wanadhan haya mambo ni automatic kama 10 × 10 = 100Duh kweli mkuu, watu wamekaririshwa hivyo. bila kujali, mabadiliko ya tabia nchi.
Kuna ulazima gani??Christmas zote lazima mvua inyeshe.
Mh! Em ngoja niulize mtu wa dodoma,maaana dah.Christmas zote lazima mvua inyeshe.
Hatimae imenyesha japo kidogoHapa nilipo hadi mda huu haijanyesha
Mbeya iyo MwaisaWapi uko?