Hakika.Kumbe
Kuna muda ndugu wanazingua kinoma
Umaskini ni mavi...ni laana kubwa sana...Mifarakano Mara nyingi hutokea katika familia masikini.
Kwa matajiri Kuna upendo na umoja na ikitokea wametofautiana huwa wanaitisha kikao na kusuluhisha mara moja.
Ila Kwenye familia masikini Ni chuki,wivu na majungu mwanzo mwisho.
My Take: Jamani tupambane Sana tupigane na umasikini kwa sababu ndio chanzo kikuu cha mifarakano katika familia nyingi.