Sisi dada yetu mkubwa alikuwa na tabia za kujiona smart sana ,mimi ni mdogo sana kwake yaani ananipita miaka 10 .
Aliondoka kama miaka 4 bila ya kuja kutuona maana hata simu ilikuwa tabu enzi hizo ni tabu, yaani amekaa huko kaolewa mpaka kapata watoto wakubwa ndio anakuja home , sijajua kama alikuwa anawasiliana na wazazi .
KIufupi kuzaliwa pamoja ni baraka kweny kusaidiana ila hakuna uhusiano wa moja kwa moja kwamba ndugu yako ndio msaada wako ...Binafsi hata uwepo wake hauna maana kwa vile alianza kujitenga mapema . Namuona limbukeni mpaka leo kazeeka sana kabaki kumpost huyo mume wake maana hata sisi hatumjui .
Sasa hivi anajileta ili likitokea mbaya wanae wapate msaada , ni ujinga kwa kweli ukijifanya mbinafsi .