Mi nikifikia kwenye peaceful distance kurudi inakuwa ngumu sana nyie mnawezaje?Natumia tu mbinu yangu ya kila siku "peaceful distance" baada ya muda hasira, uchungu vikiisha narudi kwa ndugu zangu...... Hivo tu.
Kweli kbsa mkuu,ndio maana Kwenye comment yangu hapo juu nimesiztiza tupambane Sana na umasikini ili kuepusha mifarakano katika familia zetuUmaskini ni mavi...ni laana kubwa sana...
Huwez kukuta upumbav huo kwa matajiri..kwanza kila.mtu yuko bize, madili mengi ya pesa, huo muda mchafu wa kugombana sjui unapatikana wapi, sanasana wanakutana kusherekea mafanikio ya utajiri wao
Time bebe time, ukijipa muda tu.....baada ya muda nakua poa i get back.Mi nikifikia kwenye peaceful distance kurudi inakuwa ngumu sana nyie mnawezaje?
Mkimchukia huo mzunguko wa chuki hautoisha.Sisi dada yetu mkubwa alikuwa na tabia za kujiona smart sana ,mimi ni mdogo sana kwake yaani ananipita miaka 10 .
Aliondoka kama miaka 4 bila ya kuja kutuona maana hata simu ilikuwa tabu enzi hizo ni tabu, yaani amekaa huko kaolewa mpaka kapata watoto wakubwa ndio anakuja home , sijajua kama alikuwa anawasiliana na wazazi .
KIufupi kuzaliwa pamoja ni baraka kweny kusaidiana ila hakuna uhusiano wa moja kwa moja kwamba ndugu yako ndio msaada wako ...Binafsi hata uwepo wake hauna maana kwa vile alianza kujitenga mapema . Namuona limbukeni mpaka leo kazeeka sana kabaki kumpost huyo mume wake maana hata sisi hatumjui .
Sasa hivi anajileta ili likitokea mbaya wanae wapate msaada , ni ujinga kwa kweli ukijifanya mbinafsi .
yeye alianza chuki ni vile alijitenga ila zinamtafuta...Unajua kuna mambo ya huyo mumewe ndio anamfundisha chuki .Mkimchukia huo mzunguko wa chuki hautoisha.
Ndo shida ya chuki, ina zaa chuki.... Ni sumu.
Kuna mmoja tumbo moja kabisa alijichanganya juzi hapa Misungwi akanijaribu. Kilichompata sasa hivi kaita kikao cha ukoo eti wamsaidie kuomba msamaha. Halooo! ๐ฎhawa ndugu ndo wanaongoza kwa kukuroga
Mimi siamini kwenye chuki mkuu, bado sioni ni kitu gani kinaweza kuhalalisha chuki, kwenye haya maisha yetu ya kawaida ya undugu....yeye alianza chuki ni vile alijitenga ila zinamtafuta...Unajua kuna mambo ya huyo mumewe ndio anamfundisha chuki .
Mume akakutana nae ukubwani ila ndio mnamsikiliza sana ni ushamba .
Basi nipo kwenye permanent session,Time bebe time, ukijipa muda tu.....baada ya muda nakua poa i get back.
Ila peaceful distance inategemea kuna wengine ni temporary na kuna wengine inakua permanent, tuko poa ila stay away ๐