Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
nakupinga kwa hilo. Kama unapenda kujifunza basi fuatilia vizuri mfano hizi ni derby za London pekee.London Derby Chelsea Vs Arsenal
North London Derby Totenham vs Arsenal
Mersey Side Derby Everton Vs Liverpool
Manchester Derby Man City vs Nyumbu Utd
West Ham, Fulham, Nottingham Forest, Crystal Palace, Brentford hizi zote ziko London lakini husikii zinaitwa Derby baina ya Chelsea, Arsenal au Totenham.
😂😂 tunapenda ku complicate mambo ili tuonekane tu tunajua, huyo nae kaja na kitongoji kweli waelimishaji wanakazi.mji mmoja sio kitongoji kimoja, sema Derby ni ya timu mbili, haiwezi kuwa timu 3 ndani ya mji mmoja
Hii ndio maana halisi ya derby. Watu wanashindwa kutofautisha wapinzani wa jadi na derbyNini maana ya Derby?
AD
AD
Meaning of local derby in English
local derby
noun [ C ]
UK
UK
/ˌləʊ.kəl ˈdɑː.bi/ US
/ˌloʊ.kəl ˈdɝː.bi/
(also derby)
a sports competition, especially a game of football, between two teams from the same city or area.
Huo ni msamiati na hakuna mahali walipoongelea swala la ukubwa wa fanbase au timu.
Wanaishusha Simba.Sijui kwanini Azam media wanalazimisha timu yao ya Azam kwamba ni derby dhidhi ya wakongwe wa Kariakoo?
Kwanza ni timu ya juzi hakuna derby kati ya baba na mtoto,
Mafanikio ya mataji haiwezi kufika hata robo ya Simba na Yanga
Kwa mashabiki hata robo ya hizo timu Azam haifiki.
Sasa wanavyosema azam ni derby kwa Simba na Yanga ni derby kwenye nini hasa hawana umri sawa kuanzishwa,hawana mashabiki, wana kikombe kimoja tu cha ligi.
Kama wanaangalia timu ambazo zote zipo Dar basi Azam anafaa kuwa derby na KMC maana hata umri wanaendana kwa mbali.
Azam kuwa derby kwa Simba na Yanga ni kuzishusha hadhi Simba na Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
tuna ujuaji mwingi mpaka tunaharibu.Hii ndio maana halisi ya derby. Watu wanashindwa kutofautisha wapinzani wa jadi na derby
Real Madrid na Barcelona wanatoka jiji moja?Nini maana ya Derby?
AD
AD
Meaning of local derby in English
local derby
noun [ C ]
UK
UK
/ˌləʊ.kəl ˈdɑː.bi/ US
/ˌloʊ.kəl ˈdɝː.bi/
(also derby)
a sports competition, especially a game of football, between two teams from the same city or area.
Huo ni msamiati na hakuna mahali walipoongelea swala la ukubwa wa fanbase au timu.
Derby timu za mji mmoja, wako sawa tu.Sijui kwanini Azam media wanalazimisha timu yao ya Azam kwamba ni derby dhidhi ya wakongwe wa Kariakoo?
Kwanza ni timu ya juzi hakuna derby kati ya baba na mtoto,
Mafanikio ya mataji haiwezi kufika hata robo ya Simba na Yanga
Kwa mashabiki hata robo ya hizo timu Azam haifiki.
Sasa wanavyosema azam ni derby kwa Simba na Yanga ni derby kwenye nini hasa hawana umri sawa kuanzishwa,hawana mashabiki, wana kikombe kimoja tu cha ligi.
Kama wanaangalia timu ambazo zote zipo Dar basi Azam anafaa kuwa derby na KMC maana hata umri wanaendana kwa mbali.
Azam kuwa derby kwa Simba na Yanga ni kuzishusha hadhi Simba na Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barcelona vs Madrid sio Derby ile inaitwa El Clásico ambayo maana yake ni "the classic "
Derby ya Madrid ni Atletico Madrid vs Real Madrid
Arsenal vs Chelsea sio derbyDerby ni mechi kati ya timu za mji mmoja.
Kuna London derby halafu kuna north London derby
London derby= arsenal VS chelsea
North London derby= arsenal VS Tottenham
Azam na simba ni Dar es Salaam derby
Simba vs Yanga ni Kariakoo derby
Kama ile timu ya African Lyon ingekuwa bado ipo ndio ingekuwa Mbagala derby kati ya Azam na African Lyon
Derby maana yake ni watani wa jadi? Au kuna maana tofauti na hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamelodi wanatoka Johannesburg?Kaizer na Orlando ni derby, Mamelodi wanakimbiza kwenye ligi lakini derby ya Orlando na Kaizer imebaki palepale,Azam wafanikiwe kwanza kuishika ligi ya bongo kwa mataji back to back watapata mashabiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoandika hapa hakina tofauti na wanachokifanya Azam kujaribu kuipromote Azam FC kuwa na derby dhidi ya Yanga au Simbanakupinga kwa hilo. Kama unapenda kujifunza basi fuatilia vizuri mfano hizi ni derby za London pekee.
AD
AD
The North London Derby
The rivalry between Arsenal and Tottenham Hotspur began in 1913, and today, it’s the best London derby in the Premier League. Just four miles apart, these two teams have played each other over 200 times, but right now, the rivalry is at its peak.
The North West London Derbies
Chelsea has become one of the biggest football clubs in the world. With that status comes rivals keen to knock them off their pedestal in a London derby. Chelsea’s biggest rivals are Arsenal, who they’ve been playing since 1907. When these two teams get together, it’s not uncommon to see the flash of the red card from the referee.
Tottenham Hotspur and Chelsea is another popular London derby, with both teams and their fans sharing a dislike of Arsenal, but also frequently competing for titles and qualifications.
The Dockers Derby
Named after the two teams’ connection to the shipbuilding industries, West Ham and Millwall have one of London’s fiercest rivalries. It began in 1926 when London and Surrey workers broke the Dockers Strike.
West London Derbies
West London teams Chelsea, Brentford, Fulham and Queens Park Rangers (QPR). Loyal fans create a tense atmosphere for the players when they play their football neighbours.
West Ham vs Spurs
Tottenham Hotspur signing away top players to West Ham and a 2006 match between the two when West Ham beat Spurs, preventing them getting into the Champions League, has kept this historic rivalry alive and often actually kicking.
Kwa kukupa taarifa, Hii siyo derby bali ina jina waliloibatiza mechi hii liitwalo "El Clasico" au "The classic" ambayo ni mechi kati ya wahasimu wawili wa Hispania.