Azam na hizo timu tajwa zinatokea mkoa gani?Ulichoandika hapa hakina tofauti na wanachokifanya Azam kujaribu kuipromote Azam FC kuwa na derby dhidi ya Yanga au Simba
shirikisha ubongo wako kwanza kuelewa maana ya neno kitongoji kabla vidole vyako havija andika mashudu kijana.[emoji23][emoji23] tunapenda ku complicate mambo ili tuonekane tu tunajua, huyo nae kaja na kitongoji kweli waelimishaji wanakazi.
Sasa Azam ina historia gani kwa simba na yangaKwa Mimi navyojua derby ni timu mbili zinazotoka mji/Jiji Moja, zenye historia Fulani, inaweza kuwa ya uhasama au jambo lolote lile,
Mechi ya yanga vs kmc huwezi sema ni derby kwakua hawana historia yoyote kati Yao hao wawili.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
mji mmoja sio kitongoji kimoja, sema Derby ni ya timu mbili, haiwezi kuwa timu 3 ndani ya mji mmoja
Ningependa kujua kitongoji ni nini?shirikisha ubongo wako kwanza kuelewa maana ya neno kitongoji kabla vidole vyako havija andika mashudu
Wewe ndiyo hushirikishi ubongo sasa, bandiko lako mwenyew linasema mji na bado unapinga sio.
hakuna sehemu nilipopinga mji ila naona nilivotaja kitongoji imewachanganya na kusema sio kitongoji bali ni mji.Wewe ndiyo hushirikishi ubongo sasa, bandiko lako mwenyew linasema mji na bado unapinga sio.
Kwa upande wangu niliandika shudu kwani nilishangaa eneo la kijiografia umeliweka kwa level ya kitongoji ambayo kwa nchi yetu ni eneo dogo sana.
kule Spain kuna Real Madrid yuko jiji la Madrid na Barcelona yuko jiji la Barcelona baina yao hawa wanatofautina zaidi ya kilomita 500Azam na hizo timu tajwa zinatokea mkoa gani?
Kama zote ni DSM = Mkoa mmoja basi ni Derby na kama ni mikoa tofauti basi haina sifa ya derby.
(Maelezo yangu ni kutokana na kamusi za kiingereza).
kama unatatizo na ubunifu au juhudi za wenzako basi ni tatizo jingine.
Kitongoji kimoja??? Au mji mmoja?Ni wanatangaza biashara yao tu ikuwe ila ukizungumzia derby kama derby ;timu lazima zitoke kitongoji kimoja kwanza.
Sunderland Wana mji wao tofauti na manchesterMimi nikajua derby ni ikiwa teams zina makazi ndani ya mji mmoja kumbe sii hivyo tena!
Kwa hiyo Shalk 04 na Dortmund siyo derby?
Man U na Sandaland siyo Derby?
London Derby Chelsea Vs Arsenal
North London Derby Totenham vs Arsenal
Mersey Side Derby Everton Vs Liverpool
Manchester Derby Man City vs Nyumbu Utd
West Ham, Fulham, Nottingham Forest, Crystal Palace, Brentford hizi zote ziko London lakini husikii zinaitwa Derby baina ya Chelsea, Arsenal au Totenham.
Siyo lazima timuLondon Derby Chelsea Vs Arsenal
North London Derby Totenham vs Arsenal
Mersey Side Derby Everton Vs Liverpool
Manchester Derby Man City vs Nyumbu Utd
West Ham, Fulham, Nottingham Forest, Crystal Palace, Brentford hizi zote ziko London lakini husikii zinaitwa Derby baina ya Chelsea, Arsenal au Totenham.
Inaitwa Northwestern derby. Mnavyoandika vitu jaribu kufanya research kwanza. Kuna intercity derbies. Liverpool mpaka Manchester ni over 50 km.Derby ni match between local revels, kwa maana timu zinazotoka kwenye mji mmoja au kitongoji kimoja. mechi yao ina qualified kuitwa derby.
kwa mfano
Arsenal vs Fulham ni London Derby
Arsenal vs Chelsea pia ni London derby.
Arsernal vs Spurs
Arsenal vs West ham
Hizi zote zinaitwa London Derby.
Man UTD na Liverpool ni watani na mahasimu wa Jadi, ila mechi yao haiitwi Derby.
Nimeshamjibu mwenzako huko kabla ya wewe kuniletea kitu kama hiki. Fuatilia commentsView attachment 2897521
Tatizo mnakariri vibaya, ama mnalazimisha kuelewa vile akili yako inataka na si vile hali ilivyo. Derby ni nyingi kuliko unavodhania
Nimesoma comments zote. Mtizamo wako wa derby ni potofu.Nimeshamjibu mwenzako huko kabla ya wewe kuniletea kitu kama hiki. Fuatilia comments
Huo sio mtizamo nimetoa facts, kama unaweza nipinge kwa factsNimesoma comments zote. Mtizamo wako wa derby ni potofu.
Kizazi cha kupenda ligiHuo sio mtizamo nimetoa facts, kama unaweza nipinge kwa facts
Yaap hapo ndiyo ulipotuchanganya.hakuna sehemu nilipopinga mji ila naona nilivotaja kitongoji imewachanganya na kusema sio kitongoji bali ni mji.