promiseme JF-Expert Member Joined Mar 15, 2010 Posts 2,707 Reaction score 932 Feb 24, 2013 #21 Alie pewa kapewa hakuna nyota wala wala mawingu.........wakati wake umefika wakuonekana,na wengine pia wapo kwenye foleni..
Alie pewa kapewa hakuna nyota wala wala mawingu.........wakati wake umefika wakuonekana,na wengine pia wapo kwenye foleni..
Chauro JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 2,968 Reaction score 1,478 Feb 24, 2013 #22 huu uganga wa kienyeji sasa .
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,373 Feb 24, 2013 #23 Msihukumu mtu kwa avatar yake, angalieni hoja zake. That is just a funny name like yours. Hoja ni kwamba Behind every successful man, there is a woman, and behind the success of DIAMOND, there is WEMA. Hiyo ndio hoja.
Msihukumu mtu kwa avatar yake, angalieni hoja zake. That is just a funny name like yours. Hoja ni kwamba Behind every successful man, there is a woman, and behind the success of DIAMOND, there is WEMA. Hiyo ndio hoja.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Feb 25, 2013 #24 diamond aache kuchojoa mavazi na kuwaputukia wanaume wenzie. michezo ya kishoga ni laana
M mlowa Member Joined Feb 24, 2013 Posts 41 Reaction score 5 Feb 25, 2013 #25 ndiyo fasheni yake muacheni