HAKUNA DIAMOND BILA WEMA?. (Behind every successful Man.......)

HAKUNA DIAMOND BILA WEMA?. (Behind every successful Man.......)

Alie pewa kapewa hakuna nyota wala wala mawingu.........wakati wake umefika wakuonekana,na wengine pia wapo kwenye foleni..
 
Msihukumu mtu kwa avatar yake, angalieni hoja zake. That is just a funny name like yours. Hoja ni kwamba Behind every successful man, there is a woman, and behind the success of DIAMOND, there is WEMA. Hiyo ndio hoja.
 
Back
Top Bottom