Hakuna El Nino bali Kuna ukame makali, TMA wamegonga nje

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake

TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini

Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji

Hakuna Elnino wala El konyo
 
Cha Arusha au Njombe?
IMG-20260916-WA0008.jpg
 
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake

TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini

Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji

Hakuna Elnino wala El konyo

Jaribu hata ku google mzee wa ngara...
 
WAKUU KATIKA KIPINDI NIMEMUOMBA MUNGU HUYU KWA NGUVU ZOTE NI KIPINDI HIKI,ILI TU ABATILISHE SAYANSI YA BINADAMU,UKIZINGATIA MUNGU WETU HACHUNGUZIKI PALE ANAPODHAMIRIA YAKE!,
#BINADAMU NA SAYANSI YAKO SI LOLOTE KWA MUUMBA HUYU MWENYE NGUVU ZA KUTISHA SANA.
 
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake

TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini

Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji

Hakuna Elnino wala El konyo
Wewe endelea kukaa kujidanganya hapo , Badala ya Kuchukua Tahadhari. Halafu baadae unakuja kuilaumu hiyo hiyo serikali na Taasisi zake. Majanga yakishakupata.

Jamani Tuchukue Tahadhari na hii El Nino.
 
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake

TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini

Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji

Hakuna Elnino wala El konyo
Bendi ndio kwanza inapanga vyombo na kujaribu vinasa sauti...muziki utaanza kupigwa rasmi mwanzoni mwa mwezi ujao.
Jiandae kunengua.
 
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake

TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini

Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji

Hakuna Elnino wala El konyo
ok. :1Head:
 
Mzee unafikiri utabiri kama huo ni TMA ndio wanautoa wenyewe kwa utaalamu wao? El nino imetakgazwa sio Tanzania tu
 
Back
Top Bottom