Exactly.hahahah,
Hizo tabiri zinakuaga international coordinated, Data zinatoka kwa wenye satellites zao.
TMA hawapo wenyewe naona elnino imetabiriwa na taasisi za mataifa mengi.
Kuna El nino ya wizi wa fedha za UmmaMtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo
Na pia utabiri usipotimia ni jambo jema haimaanishi taasisi ni mbovu. Actually Kwa TZ TMA ndo taasisi pekee unaweza kuiamini maana pale hakuna nafasi ya siasa. Zamani pia NECTA walikua vizuri ila siku hizi wanasiasa washaiharibu NECTAKashiba kunde huyu mjinga
Cha Arusha au Njombe?Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo
Cha Arusha au Njombe?
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo
Huyu mpumbavu anawalaghai wenzake, hajui kua hio el nino imetabiriwa duniani kote na nchi zinajipanga kukabiliana nayo. Wadanganye wabongo ije iwakombe huko ndio watajua hawajui π π π πTMA hawapo wenyewe naona elnino imetabiriwa na taasisi za mataifa mengi.
Wewe endelea kukaa kujidanganya hapo , Badala ya Kuchukua Tahadhari. Halafu baadae unakuja kuilaumu hiyo hiyo serikali na Taasisi zake. Majanga yakishakupata.Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo
Bendi ndio kwanza inapanga vyombo na kujaribu vinasa sauti...muziki utaanza kupigwa rasmi mwanzoni mwa mwezi ujao.Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo
ok.Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo
Mzee unafikiri utabiri kama huo ni TMA ndio wanautoa wenyewe kwa utaalamu wao? El nino imetakgazwa sio Tanzania tuMtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo