Hakuna El Nino bali Kuna ukame makali, TMA wamegonga nje

Du...
Una hasira..
Mvua zishaanza baadhi ya maeneo yaliyotajwa..
 
Hii inadhihirisha jinsi gani kiwango chako chs uelewa kilivyo.
Anyway tusikulaumu sana but vitu vingine vinafanya tuwavue vyeo na kuwadharau
 
Asante kwa taarifa
 
Za kuambiwa unachanganya na zako maana yajayo ni yako. Asante kwa utabiri.
 
KAMA UNACHOONGEA HAPA KITAKUWA NI SAHIHI, BASI MIMI UJUMBE WANGU NI HUU, KWAMBA:

NENO EL-NINO NI SUPERKEY YA NENO "EL" AMBALO LINAMAANISHA MUNGU, NA NENO " METEOROLOGY" NI SUPERKEY YA NENO METER, NA PIA LINABEBA ATTRIBUTES ZA -- ORO-. METER NI SI UNIT YA FUNDAMENTAL QUANTITIES AMBAZO ZIKO CONNECTED NA AINA ZOTE ZA MADA NA HIVYO METER NI SUPERKEY YA MATTER
 
Mvua zimeanza hizo , kuhusu ukame ''BIG NO'' hayo ya El nino yana uwezekano mkubwa wa kutokea kuliko ukame.
 
El nino si mvua tu bali na ukame wa mda mrefu, 77 kuna mzee alinieleza kuwa walikuwa wanaezua bati kwenda nazo huko mbali ili warudi na chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…