Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Ebu nikumbushe utabiri gani wa kweli ambao TMA waliutoa ukawa wa kweli?Hata kama TMA wana copy na ku pest tuchukue tahadhari kwa kuamini ya Wahanga,Lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Kweli aisee,NECTA kwa sasa hapana.Wanapika mno matokeo ya sasa.Habari wanaipata lecturers wa vyuo vikuu.Kutana na mwenye div 1 anajenga hoja kama drasa la nneNa pia utabiri usipotimia ni jambo jema haimaanishi taasisi ni mbovu. Actually Kwa TZ TMA ndo taasisi pekee unaweza kuiamini maana pale hakuna nafasi ya siasa. Zamani pia NECTA walikua vizuri ila siku hizi wanasiasa washaiharibu NECTA
Correct ni shida. Wanaosahisha wanapewa maelekezo mwanafunzi akiwa na mwelekeo tu ni 18/20.Kweli aisee,NECTA kwa sasa hapana.Wanapika mno matokeo ya sasa.Habari wanaipata lecturers wa vyuo vikuu.Kutana na mwenye div 1 anajenga hoja kama drasa la nne
Huyu naye sijui ataitwa lini mbinguni
Mwamposa na manabii wengine feki watakuponza,,,kwa hiyo hiyo Sayansi ndo inaleta mvua au wao wanatabir tu??WAKUU KATIKA KIPINDI NIMEMUOMBA MUNGU HUYU KWA NGUVU ZOTE NI KIPINDI HIKI,ILI TU ABATILISHE SAYANSI YA BINADAMU,UKIZINGATIA MUNGU WETU HACHUNGUZIKI PALE ANAPODHAMIRIA YAKE!,
#BINADAMU NA SAYANSI YAKO SI LOLOTE KWA MUUMBA HUYU MWENYE NGUVU ZA KUTISHA SANA.
La nina sasa itaitwa kwa ajili ya nini?Elnino
Umeniwahi ku comment,huyo kashashiba maharage sasa anapotezea asisinzie ana type mambo yake ya kutunga humu...Kashiba kunde huyu mjinga