Hakuna ex wangu mwenye ndoa imara

Hakuna ex wangu mwenye ndoa imara

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Sijui ni nini lakini wanawake wote kama sio wote ambao nilikua nao kwenye relation wameachika au ndoa zao zina migogoro.

Wa kwanza nilizaa nae kipindi nipo olevel nikaahidi kumuoa lakini kabla cjaweka mambo sawa akazaa na jamaa mwingine na hakumuoa na sasa ni single mama.

Wa pili huyu tulikua Kijiji kimoja nilimuacha madarasa mawili wakat naend a level yeye alikua anamaliza form4 matokeo yke hayakua mazuri nikamwambia anisubirie nimalize shule akakataa akaolewa kwa ndoa kubwa saiv wameachana na jamaa yake yupo ni single mama.

Wa tatu huyu nilijuana nae wakati nasoma o-level alikua anasoma shule jirani na nliposoma nlivomaliza alevel tukakutana mjini mapenzi yakaanza mpk nafika mwaka wa pili nikawa nishaachwa lakin hakuolewa alikua anaishi na mshikaji na aliniacha kisa dini akapat wa dini yake akaolewa saiv juzi nimekuatana nae 77 kilichoniuma kazalishwa watoto wawili nae kaachwa.

Mwingine nlikua nae mpaka nyumban alikufahamika ila aliniudhi nikajitoa akaolewa na jamaa mwingine tunawasilian lkn ndoa yake nayo tia maji tia maji ya leo au kesho.

Nimejaribu kutafakari cjui tatizo Mimi nliwapa mkosi wa watoto wa watu au tatizo wao wenyewe uzuri nawasiliana nao wote wengine wanajuta kwanin waliniacha wengine wananilaumu kama Mimi ndo nimewatia mkosi ata cjui.

Ni jambo ambalo nikilitafakari linaninyima aman kwa upande wangu ndoa ipo safi changamoto ni hizi ndogo ndogo tu.
 
Kwahiyo unataka tukushauri au tukupongeze?
 
Maadili mabaya huishia pabaya ila sio wote.

Ukiendekeza na kufuatilia maisha ya zamani na kukataa kubadilika hata baada ya ndoa Haya ndio madhara yake

Ukiolewa/ kuoa acha tabia za zamani.

Na sio uzinzi tu hata maisha mengine kama outing zisizo na ulazima.

Kuachana na marafiki wa zamani pia inasaidia kudumisha ndoa.
 
Back
Top Bottom