Hakuna faida ya kuwa tajiri kama hana nguvu za kiume

Hakuna faida ya kuwa tajiri kama hana nguvu za kiume

Ukimuona mtu anapesa halafu mpenda ngono mpe miaka mitano kama atakuwa na huo utajiri labda awe fisadi.
Ipo tofauti ya tajiri na fisadi
 
4cd85cbfdf0b039f53dc18ed04caa703-jpg.3241265

Swaumu kali sana leo...
 
Yaaan nimeelewa sana ntakujuza pia unaweza KUWA tajiri na nguvu z kiume za kike kama hujampokea Yesu kama Bwana na mwokozi WA maisha yakoo


Utajiriii wakooo
Bureeeeeeee kabisaaa
 
MADHARA YA DHAMBI YA UZINZI NA UASHERATI•

JE, WAJUA MADHARA YA KUTENDA DHAMBI YA UZINZI AU UASHERATI HATA UKITUBU NA KUSAMEHEWA?

KUHUSU SEX..

NI KWELI UTATUBU LAKINI MAMBO HAYA YATABAKI KWAKO DAIMA...! 👇👇

Vijana wengi sasa (waliokoka) wana fanya SEX wakat wa mahusiano (kabla ya ndoa), na huku Mioyoni mwao wanasema tukifanya Tutatubu.

Ni kweli utatubu na kama Toba yako ni ya KWELI Mungu Atakusamehe lakini mambo haya hayataondoka hata kama Utatubu.

1️⃣HOFU YA MUNGU KUPUNGUA.

Kwa mara ya kwanza kabla mtu hajafanya sex, huwa na Hofu Moyoni mwake kuhusu dhambi hiyo na Hofu hii humfanya ajilinde na kujitunza.

Lakini Baada ya kufanya Sex, ile Hofu huondoka na badala yake suala la kuvua Nguo linakuwa ni jambo la kawaida tu.

2️⃣KUMBUKUMBU KUBAKI KICHWANI.

Ukishafanya sex, utatubu lakini kuna muda yale matukio ya tendo hilo yatakuwa yanarudi kwenye ufahamu wako mara kwa mara.

Kumbukumbu hizi huwa hazifutiki na ndio maana wengi hujikuta wakizini tena baada ya KUTUBU.

3️⃣UJASIRI WA KUFANYA UONGEZEKA.

Mtu aliyefanya uzinzi ni rahisi zaidi kurudia kufanya tena, Ukweli ni kwamba lile tendo lina Raha ila ubaya unakuja tu pale linapofanyika kinyume na UTARATIBU.

Na kwa sababu ulifanya ukatubu, na haukuona madhara yoyote yaliyokupata zaidi ya Burudani uliyopata hivyo unaona urudie Tena, kujipa raha Zaidi.

Lakini Biblia inasema mshahara wa dhambi ni MAUTI

Warumi 6:23
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.

4️⃣KUKOSA NGUVU YA KUJIZUIA.

Baada ya kufanya Sex, Nguvu ya kujizuia USIFANYE tena hupungua na yamkini kufa kabisa.

Tangia hapo utakuwa ni mtu wa kuanguka na kasimama, kuanguka na kusimama. Unakuwa sawa na mji usio na Ukuta, nyumba isiyo na milango mwizi ni RAHISI kuingia au sawa na gari linalotembea bila ya Breki.

Ni wachache sana waliofanya halafu wakasimama kikamilifu bila kuanguka tena hasa pindi wanapokuwa kwenye uhusiano ambao unawafanya wakutane mara kwa mara.

5️⃣KUMBUKUMBU KUBAKI VICHWANI MWA WATU.

Unapoanguka kwenye dhambi ya UZINZI na watu wakafahamu basi dhambi hiyo haitafutika Katika FIKRA za watu hata Ukifa.

Mpaka Leo tunasoma dhambi ya Daudi alipozini na mke wa Uria, ingawa Daudi alitubu, akasemehewa na TAYARI ameshakufa lakini dhambi hiyo bado ipo HAI inaishi kwenye vichwa vyetu na mpaka kwa wajukuu zetu bado watasoma na kusikia

Mbali na Mimba, mgonjwa ya zinaa na kupoteza Ujana Wako (bikira) Baada ya kufanya Sex, hayo tuliyoona ni MADHARA ya KUDUMU ambayo huweka KOVU Katika Maisha yako LISILOFUTIKA.

MITHALI 6 : 32-33

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Mithali 6:33
Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.

1 Wakorintho 6:18
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Asante kwa kusoma.



🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
kumbe maji ya mwamposa yana kazi nyingi?
Hatareee ukitaka kuwa premium member Jf kachukue jimwagie na mafuta kesho admin anakutafutia
Yanafufua nyota zilizofichwaa mpwaa kama mwalalaalaa WA simbaa
 
Unatafuta hela ili upate wanawake, upo serious? huoni hata aibu?

Wewe ni boya kiasi gani, domozege, mpaka uhitaji hela kupata wanawake?

Halafu mbona watu wengi wanaishi vizuri tu bila kuweka ngono kipaumbele?
We hujaelewa thread mkuu wanaume wengi ngono kwao ni hobby ni kama wengine wenye hobby mbalimbali kama mazoezi, mpira, draft, games, cars n. K

Hivyo hivyo kwa wanaume wengi ngono ni most popular hobby na kama ujuavyo hobby nyingi zinahitaji vitu 2 time and money basi

Bad enough kwa dunia ya sasa huwezi pata pisi kali bila kuwa na hela huo ndo ukweli mchungu otherwise akupende yeye au uingie gharama ya Kumtongoza kwa muda mrefu sana ambayo ni uongo pia.

Tafuta hela
 
Yaaan nimeelewa sana ntakujuza pia unaweza KUWA tajiri na nguvu z kiume za kike kama hujampokea Yesu kama Bwana na mwokozi WA maisha yakoo


Utajiriii wakooo
Bureeeeeeee kabisaaa
Hahaha

Cc Pdidy
 
Hivyo vitu mbona vya kawaida sana...! Usiwe mtumwa wa ngono
 
Aijalishi huna nguvu za kiume USIKATE TAMAA endelea kumwombea Mungu wakati wake wakati muhimu sana
 
Back
Top Bottom