Hakuna faida ya kuwa tajiri kama hana nguvu za kiume

yaani wewe ni mwanaume, na umejipinda kabisa kuandika hapa habari za nguvu za kiume za wanaume wenzio? hivi taifa ndio limefikia hapa aisee? hauoni aibu?
 
"hakuna faida za kuwa tajiri kama huna nguvu za kiume" ndo dai lako

dai lako halina mashiko, utajiri unakupa vitu vingi sana zaidi ya wanawake(uhuru, muda nk)

halafu huhitaji utajiri ili upate wanawake

umewahi kusikia ule msemo; "you don't need money to get women, you need it to keep them"?

jiamini dogo.
 

Safi sana bwashee, ni burudani sana kulitia hogo huko ndani ndani.
 
Ukiwa na hela na huna nguvu za kiume - unakuwa unaishikashika tu mashavu kisha unalipa unaridhika.
Hapo uongo sasa utachapiwa na utasemwa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…