Nimemsikiliza huyu mkurugenzi akiwa anaongea. Yaani ilibaki kidogo nipate hasara ya ka TV nilikokuwa nakaangalia kwa jirani. Kaonyesha wazi kuwa yeye sio mbunifu. Anasema eti hata wapi sijui huko hakuna fao la kujitoa. Mwambieni siku zote mambo mazuri ndio ya kuigwa. Wanatakiwa hao Ambao hawana hili fao awaalike waje waone tumewezaje sisi kuwa nalo kwa miaka yote na mifuko ikawa bado imara. Kwa akili yake kama ulaya au Amerika hawafanyi jambo fulani sisi hatutakiwi kulifanya?
Hiyo DAU kasema ukweli na ndivyo ilivyo na inapaswa kuwa hivyo, subiri mpaka ustaafu
Pamoja na udokita wake "amezoea kukopi na kupaste" na anawaza kuwa JAMBO ZURI HALIWEZI KUANZIA TZ wala mambo au taratibu zilizopo haziwezi kurekebishwa na Tanzania.
Kweli "uchungu wa mwana aujua mzazi".
Huyu anaweza kuwa ni PSPF, LAPF PEPF, PPF au NSSFWewe sio wa ALPF?
Hayo ya Udini tuyaache lakini hili la Fao la kujitoa kamwe tusimpe nafasi ya kupumua.
Kumbe na wewe ni mpuuzi!