Hakuna freewill ya asilimia mia

Ikishakuwa limited hilo ni gereza hakuna uhuru tena hapo

Ni sawa na useme wafungwa waliopo gerezani wamepewa uhuru wa kutembea ndani ya cello zao walimofungwa, bila kusumbuliwa isipokuwa kutoka nje na kujichanganya na raia
 
Niliwahi kuwa na maswali kama yako,
Nilipata majibu baada ya kusoma na kutafakari kitabu cha Genesis chapter one yote,

Nikagundua kuwa katika uumbaji mara sita MUNGU aliita aliyokua akiyaumba kuwa ni NJEMA

Na baada ya kukamilisha uumbaji MUNGU alitazama kila alichofanya kwa Mara ya saba akasema ni NJEMA SANA.

MUNGU HAKUUMBA UBAYA.

MUNGU aliumba Mtu na sio robot [emoji880]

Robot halina maamuzi, lemyewe hufanya kitu ilichoprogramiwa bila hata kureason.

Mungu alitupa "free will" na ipo hundred percent, ili tuamue tunachotaka kufanya.

Katika maamuzi yote tunayofanya duniani, yote yamebeba MACHAGUZI MAKUU MAWILI either KUCHAGUA KUMPENDEZA MUNGU au KUCHAGUA DHAMBI.

MUNGU HAKULAZIMISHI WW KUMFUATA AU KUMTII.
Ila anachofanya ni kukuambia ww faida za kumtii na consequences za kutokumii,
MAAMUZI YOTE YANAKUA JUU YAKO.

Alipo muumba Adam na Eva Eden aliwapa free will wao waaamue, either kula tunda au kutokula tunda.

Watu wengi wanaoquestion na kupinga doctrine ya "free will" huwa ni watu ambao tunaopenda kufanya vitu ambavyo n contrary na Mungu na tukifahamu consequences zake.
Na hizo consequences zinatufanya tuwe uncomfortable kwa sababu tunaona kama hatuna uhuru wa kuamua tunachokita ambacho n kumkataa Mungu bila kuface outcomes......
 
Watu wengi husema kwenye Mungu muweza wa yote anavyo umba ivyo vyote akujua kwamba kuna viumbe havita mtii huko mbeleni maana siku moja wapo ya Mungu nikujua mambo ya future ata adam na eva mpaka anawaambia msile tunda la kwenye ule mti akujua kwamba watakula maana Mungu anajua mpaka ya mbeleni.
 
Jopo la wanasayansi lililoingia kambini; Kuna asilimia ngapi? La kufanikiwa kuweza kutatua dhima hii ya mwanaadamu kutokufa?
 
Nakubali kuwa Mungu ni muweza wa yote, Anasifa tatu ambazo zinamtofautisha na yeyote, Omniscience, Omnipresence, na Omnipotence,

Alijua sana kuwa mbeleni wangeasi, lakn hakuumba uasi wao.
The fact of the matter ni kwamba tunasahau kuna sifa nyingine ya Mungu ambayo ni kuwa All-wise,

Hakuna mwanadamu atayekuwa na uwezo wa kumjua Mungu kwa kila kitu, akiwepo basi atakua ni Omniscient kwa Mungu( Mungu wa Mungu), and by that fact hawez kuwepo.

HEKIMA YA MUNGU HAICHUNGUZIKI.

Natural man may say 'sa kwanini nijisumbue kumjua Mungu ambae ni All-wise na siwezi kujua kila kitu kuhusu yy?".

Mwanadamu anaweza akawa na apprehension kuhusu Mungu lkn kamwe hawezi kuwa na Comprehension kuhusu Mungu.
Mawazo ya Mungu ni dhabiti na Njia zake haichunguziki.

Isaiah 55:8
"For My thoughts are not your thoughts,
Nor are your ways My ways,” declares the Lord. “For as the heavens are higher than the earth,
So are My ways higher than your ways
And My thoughts than your thoughts".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…