PostGE2025 Hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea Fr Dkt. Kitima jana, na Msigwa anasema kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?

Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.

Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
 
Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo? Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.

Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Hamna vyombo vya habari bongo, vilisha kufa. Yaani wanaoangiwa cha kutangaza
 
Hao waandishi nyie ndo mnawapa airtime
 
Huwa hufatilii vyombo vya habari?jana waziri alikua na mkutano na waandishi wa habari na wahariri akiwaelekeza kuandika habari za amani,kuchochea amani na mshikamano wa kitaifa...
 
Leo bibi Yao akimaliza kuzungumza na wazee wa ccm utashangaa ndani ya nusu saa wameshapost kwenye social media accounts zao.

Bongo, vyombo vya habari karibia vyote ni kuripoti kile serikali inataka. Balile yupo pale kwa ajili ya kuhakikisha hilo.
 
Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?

Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.

Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Kwani kuna watu bado wanasoma magazeti
 
Wasijali, BBC waliitangaza habari, tutaendelea kusikiliza na kufuatilia vyombo vya habari vya mabeberu kama vya ndani haviwezi kuripoti
 
Kama kaongea pumba nani aandike sasa
 
Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?

Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.

Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Magazeti ya Tanzania yalishakufa... Sasa hivi habari ziko social media
 
Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?

Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.

Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
...hao wapuuzi magazeti ya wajinga ya nini mnawaongelea? achana nao.
 
Nashukuru sana kwa uwepo wa hii mitandao ya kijamii,maana kwasasa ukiwa na bando lako tu huna haja ya kufatilia huo uchafu wa vyombo vya habari vya bongo
 
Back
Top Bottom