tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Hamna vyombo vya habari bongo, vilisha kufa. Yaani wanaoangiwa cha kutangazaTanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo? Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.
Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Hawatokujibu hao kima wa kitima.Uhuru ni kuandika kila kitu au kuandika ukipendacho?
Kwani kuna watu bado wanasoma magazetiTanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?
Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.
Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Wasijali, BBC waliitangaza habari, tutaendelea kusikiliza na kufuatilia vyombo vya habari vya mabeberu kama vya ndani haviwezi kuripotiTanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?
Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.
Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
Magazeti ya Tanzania yalishakufa... Sasa hivi habari ziko social mediaTanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?
Siku mkija kukiri kuwa uongozi wenu una matatizo ndio siku mtakayokuja kuelewana na watanzania. Ila mkiendelea na hizo wishy-washy mentality watanzania sio wajinga tena na kwasasa sio siri Tanzania imejezwa na wasomi, mtaani degree ni za kutosha sasa hakuna mbumbu kama ilivyokuwa zamani.
Soma pia: Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?
...hao wapuuzi magazeti ya wajinga ya nini mnawaongelea? achana nao.Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha kusema Tanzania kuna Uhuru wa Vyombo vya Habari, uhuru gani sasa huo?