Hakuna haja ya kuchagua wapinzani maana wananunulika kama bidhaa za Madukani 2020 ni kuchagua CCM tu kwa 100%

Hakuna haja ya kuchagua wapinzani maana wananunulika kama bidhaa za Madukani 2020 ni kuchagua CCM tu kwa 100%

Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%

Unataka kuendelea kuwapa kura walionunulika!? Be wise!
 
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
Kwa hiyo umeona usiwachague wanaonunuliwa BALI UWACHAGUE WANUNUZI..??
 
Binafsi sitokuwa na muda wa kuwapa upinzani kura yangu labda nirogwe sijawai na sitokaa kupigia kura upinzani kifupi ukichunguza vizuri utagungua wapinzani nchi hii ni bure yani ni ushuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
Na kwanini tuchague WANAONUNUA wengine? Mnunuaji na mnunuliwa wote WASHENZI. Tutachagua wataobaki nje ya makundi haya mawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnunuzi na mnunuliwa wote ni walewale hakuna anaefaa.

Kisha basi sina muda wa kwenda kuwapigia kura wajipigie wenyewe.
 
Mbowe mwenyewe alifika bei 2015 kwa Lowassa!
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
 
Wewe sasa ndiyo umetoa siri iliyoko nyuma ya hili zoezi la kununua wapinzani. Inawezekana hata hao wanaonunuliwa hawajui mpango huu wanachochekelea ni mamilioni wanayomwagiwa na ahadi za ajira. Nia ya CCM kutumia mabilioni kununua wapinzani ni kuandaa mazingira kwa wapiga kura kukosa imani na wagombea wa upinzani na kibwagizo hicho ndiyo kitakuwa kwenye mikutano yooooote ya kampeni za CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru umekuwa wazi,wewe unashughulika na wanaonunuliwa ila Sisi tusokuwa wanyonge tunahangaika na anayewashawishi,kupatania bei na kuwanunua wapinzani.Kwangu Mimi hii tafsiri yake ni RUSHWA,maana anawapa na vyeo vilevile walivyokuwa navyo au post nyeti.Je,huko hawawezi kuuza nchi maana wamepewa dhamana?
Tuache kupotosha wananchi,kuwa wapinzani wananunuliwa na tuwaambie huwa mnawapa nini had I waunge mkono juhudi za kiongozi wa malaika?Mbona wakija huko huwa wanaongea kunyume nyume?
 
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
Watumishi wa umma mmewageuza misukule, fedha zao za malimbikizo na madaraja ndizo mnazowanunulia wapinzani, halafu waja kujisifu hapa!

Kuna haja walimu kule mliko ikibidi hata wanafunzi waliowaandikisha wapeni elimu wasiwachague hao wapuuzi wanao wanunua wapinzani badala ya kuboresha maslahi yenu heshima ianzie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchagua ccm ni lazima kujitoa akili kwa muda ikirudi(akili) ni majuto na lawama tu.
 
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%


Nadhani tuwahukumu wanunuzi kwanza kwa kutumia fedha zetu kwaajili ya maendeleo badala yake wamezielekeza katika manunuzi ya binadamu.
 
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
kama umetumwa rudi kawaambie awaliokutuma kuwa hatununui huo upuuzi, tunafahamu nia yenu ilikuwa kutuvunja moyo TUNACHAGUA WAPINZANI mnunue mpaka muishiwe kabisaaaa!
 
Timu inaponuua mchezaji basi ujue imetambua udhaofu wake na strength za ule usajili. Kwa maana hiyo CCM inatambuwa kutokuwa na timu imara.
 
Sina haja ya kujua anaewanunua anaenda kuwafanyia nini. Lakini pia sina haja ya kujua anaewanunia anatoa wapi pesa ya kiwanunua. Bali nimachojua ni kuwa wapinzani wananunuliwa hivyo hawafai kupewa mamlaka ya kuiongoza nchi kwani wakionyeshwa pesa tu wanabadili mwelekeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hata hivyo ujualo. Hujui hata mnunuzi! Ungejua ni nani ungeacha kuvaa goggles. Dhahiri wewe ni kipofu. Taahira ya akili. Mtumwa alinunulika au alinunuliwa?
 
Back
Top Bottom