Atakayekwenda kupiga kura Oct 29 namuita MPU*MBAVU.
Kura haibadili chochote katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kama hazibadili chochote maana yake hazihitajiki.
Sasa mtu anakwenda kupiga kura kwa minajili gani, kama sio upumbavu tu.
Ukiacha hayo kila mtu anajua kuhusu Polisi watakaokuwa mitaani na mitutu na silaha nyingine hatari.
Mazingira ya namna hiyo ni hatarishi hata kwa ambao hawana nia za kihalifu.
Busara ni Watanzania kubaki majumbani kwao hiyo Oct 29 au kufanya shughuli zao karibu na majumbani kwao.
Swali la msingi ni kuwa anayetaka turudi mezani tupate mabadiliko na anayesema twende hivyo hivyo je nani ana nafasi kubwa kuleta machafuko?
Hasa ya Chakula.Naunga mkono hoja
Pia naongezea, watu waweke akiba, yajayo hayatabiriki
HAPANA.Atakayekwenda kupiga kura Oct 29 namuita MPU*MBAVU.
Kura haibadili chochote katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kama hazibadili chochote maana yake hazihitajiki.
Sasa mtu anakwenda kupiga kura kwa minajili gani, kama sio upumbavu tu.
Ukiacha hayo kila mtu anajua kuhusu Polisi watakaokuwa mitaani na mitutu na silaha nyingine hatari.
Mazingira ya namna hiyo ni hatarishi hata kwa ambao hawana nia za kihalifu.
Busara ni Watanzania kubaki majumbani kwao hiyo Oct 29 au kufanya shughuli zao karibu na majumbani kwao.
Hili la msingiNaunga mkono hoja
Pia naongezea, watu waweke akiba, yajayo hayatabiriki
Imesemwa na Mgonjwa asaidiwe kwenda kupiga kura....! Mnanichanganya kweliBusara ni Watanzania kubaki majumbani kwao hiyo Oct 29 au kufanya shughuli zao karibu na majumbani kwao.
EEEeeeenHEEEEeeeeeh!Sikuwahi kujua kuwa uliwahi kutungiwa wimbo wa namna hii hadi Leo nilipoona kibwagizo cha ACT Wazalendo
====
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ij4V0ovN74E
Samia amekwisha toa maelekezo nini kifanyike.Ni kweli, kwa mukhtadha huu hakuna sababu ya kwenda kituoni kupiga kura wakati tayari mshindi anajulikana! Labda kama mtu hana kazi za kufanya aende tu akapoteze muda huko ila ajihahadhari asije akadhaniwa ni muandamanaji akaishia korokoroni ikiwa polisi watamwagwa vituoni na barabarani siku hiyo
Imesemwa na Mgonjwa asaidiwe kwenda kupiga kura....! Mnanichanganya kweli
Nyie mmeshajitoa kwenye uchaguzi, sasa kelele, kiherehere na kidomodomo cha nini sasa? Pilipili usiyoila wewe inakuwashia nini? Huo kama siyo upumbavu ni kitu gani sasa?
Mmeshasema hamshiriki uchaguzi, badala yake mnaingia mtaani kukinukisha, basi endeleeni na mipango yenu. Tuacheni tutakaokwenda kupiga kura tukatumie haki yetu kwa amani.
Wewe kwa kuwa umeamua kutokula, basi unataka watu wote wasile? Ukisikia upumbavu basi ndiyo huo.