Hakuna haja ya Uchaguzi 2010!

Hakuna haja ya Uchaguzi 2010!

OYA MKUU.

UCHAGUZI MUHIMU KWANI WENGINE TUNATAKA KUUZA SURA TU. matokeo tunayajua.
 
Uchaguzi ujao Rais hatabadilika labda utokee muujiza au kwa mapenzi ya Mungu. Bunge litabadilika sana. Kwangu mimi hii ni hatua kubwa kuelekea kuing'oa CCM madarakani. Tusiiache nafasi hii ipite. Udhaifu wa Rais tulienae kwa sasa ukitumika vizuri mabadiliko yatakuwepo.
Hivi nae anajua kwamba ni dhaifu? Je hana washauri?
Hivi watanzania wa kawaida waliopo vijijini(ambao ndio wengi zaidi, na wanainfluence matokeo matokeo wakati wa uchaguzi) wana upeo wa kutambua/kuhisi udhaifu wake?
Je hatawakitambua jamaa ni dhaifu lakini wakapewa T-Shirt, kofia na Khanga za CCM (au mwakani hazitagaiwa sababu hamna hela za EPA?) unadhani watamsahau mgombea wa CCM siku ya kupiga kura?
Bado tunasafari ndefu wadanganyika....
 
Back
Top Bottom