Hakuna haki bila wajibu! Haki sio hisani ni stahiki inayopaswa kutolewa. Haki ya kufanya mikutano na maandamano ni haki kakini pia watimize wajibu

Kama hili andiko ni kwa ajili ya wanazuoni wenye uwezo, utashi na “anasa” ya kuchambua kimantiki masuala ya siasa za nchi, ni andiko jema sana.

LAKINI kama lengo la andiko ni kuhusiana na tukio la maandamano ya jana ya CHADEMA na utangulizi wake (background), basi andiko lingekuwa jema na la msaada zaidi kama ungekuwa bayana (direct) namna wahusika wakuu walivyotimiza wajibu wao.

Yaani baada ya kutoa hiyo elimu ndefu kuhusu yanayotakiwa kufanyika, ungemalizia kwa kuonyesha ni wapi exactly CHADEMA walipopungukiwa (au kupatia) katika kufanya responsible politics kiasi cha kuchochea dola kuzuia maandamano yao kwa nguvu.

Kisha ungeonyesha serikali ilipopungukiwa au kupatia katika utawala bora kwa kuzuia maandamano ya CHADEMA kama ilivyofanya.

Hiyo itasaidia wahusika na wadau kujifunza kwa mfano hai wa jinsi siasa bora zinavyotakiwa kufanyika.

Nje ya hapo ni wachache sana watakaokuwa na anasa ya kusoma na kufaidika na elimu kubwa iliyoandikwa hapa. Halafu, kwa jinsi jamii ya wadau ilivyogawanyika (partisan) michango mingi itakuwa ya kishabiki na kichawa. Na wengi watakuona kama mjanja fulani hivi unayejaribu kutembea katika mpaka mwembamba ili usijukikane uko kambi ipi exactly!
 
Paskal stahiki zote hizi kwenye katiba yetu CHADEMA wamefanikiwa tu kutwambia Samia ana mtoto anaitwa Abdul
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…