Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR

Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR

"Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya chuma imepanda Duniani hivyo hakuna hasara yoyote katika Mradi wa SGR zaidi ya kuokoa Fedha" - Mhe. Atupele Mwakibete (Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi)

#BungeniDodoma
 
Attachments

  • VID-20230516-WA0457(1).mp4
    17.8 MB
Gwaji boy alikuwa sahihi kusema tungeanza kuchimba chuma ndio ifuate ujenzi wa SGR.
 
Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR

"Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya chuma imepanda Duniani hivyo hakuna hasara yoyote katika Mradi wa SGR zaidi ya kuokoa Fedha" - Mhe. Atupele Mwakibete (Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi)

#BungeniDodoma
Hakuna mradi wa hovyo kama huu wa SGR,hakuna la maana,tumeshindwa mwendo kasi na Tran ya kawaida tutaweza SGR

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..CAG amegundua madudu ktk huo mradi.

..kuna udanganyifu mkubwa umefanyika ktk gharama za mradi
 
Ukichimba chumax
Ndo kitakuwa chako
Mbona tumevuna ges, madin bado siyo yetu
Wewe wasema. Kuchimba Chuma, na kukisafirisha kwenda nje, (hususan China), bila kukichakata hapa Nchini kutokana na kutokuwa na Steel Refinery pamoja na Steel Rolling Mill hakuwezi kusaidia. Chuma kitakuwa kama yalivyo Madini mengine yanayochimbwa na kusafirishwa nje huku Watanzania tukibaki na mashimo matupu.
 
Back
Top Bottom