Hakuna mradi wa hovyo kama huu wa SGR,hakuna la maana,tumeshindwa mwendo kasi na Tran ya kawaida tutaweza SGRHakuna Hasara Katika Mradi wa SGR
"Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya chuma imepanda Duniani hivyo hakuna hasara yoyote katika Mradi wa SGR zaidi ya kuokoa Fedha" - Mhe. Atupele Mwakibete (Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi)
#BungeniDodoma
Ukichimba chumaxGwaji boy alikuwa sahihi kusema tungeanza kuchimba chuma ndio ifuate ujenzi wa SGR.
Bei ingekuwa chini kidogo tofauti na kuiagiza toka njeUkichimba chumax
Ndo kitakuwa chako
Mbona tumevuna ges, madin bado siyo yetu
Wewe wasema. Kuchimba Chuma, na kukisafirisha kwenda nje, (hususan China), bila kukichakata hapa Nchini kutokana na kutokuwa na Steel Refinery pamoja na Steel Rolling Mill hakuwezi kusaidia. Chuma kitakuwa kama yalivyo Madini mengine yanayochimbwa na kusafirishwa nje huku Watanzania tukibaki na mashimo matupu.Ukichimba chumax
Ndo kitakuwa chako
Mbona tumevuna ges, madin bado siyo yetu