Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Wewe uwa jinga sana harafu punguani hujui mambo mengi bora ungekaa kimya kuliko kujidhalilisha Wamarekani kibao wana njaa wapo China zaidi ya Laki moja wapo China.Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China kwenda kutafuta maisha bora ama hifadhi ya ukimbizi.
Kwa mwaka wa 2022/23 pekee zaidi ya raia kutoka China laki 3 walizamia Marekani kupitia mpaka wa Marekani na Mexico na wengine kuendelea kwenda Canada kutafuta maisha Bora.
Xi Jinping Mi mi
Hivi hizo shule zenu mnazojisifia uwa mnaenda kusoma ujinga?Hivi unaifahamu USA wewe hata wakanada wenyewe wanazamia USA. USA ukiwa na mawazo mazuri au kipawa unapiga pesa.Huku baada ya tundu lissu kumuweka kuwa mwanasheria mkuu wa serikali tunashindwa za idi ya kumuweka nassoro katunga kilaza aliyezaliwa nyasubi,kahama mjini mzee wakuharisha kesi.
USA Citizens Wanaingia China Kwa Njia Halali,kama Wawekezaji Na Wengine Kama Workers,Experts.Punguani mwingine huyu hapa hivi hizo shule zenu mnazojisifia uwa mnaenda kusoma ujinga?
12% ya wageni wa China ni Wamarekani.
Mnajazana ujinga tu.
Punguani ni wewe ni wewe hata ujawahi kutengeneza GPS ambayo inatoka USA kama huyuPunguani mwingine huyu hapa hivi hizo shule zenu mnazojisifia uwa mnaenda kusoma ujinga?
12% ya wageni wa China ni Wamarekani.
Mnajazana ujinga tu.
JF siyo sehemu ya porojo.Punguani ni wewe ni wewe hata ujawahi kutengeneza GPS ambayo inatoka USA kama huyu
View attachment 3447438
kakazwe na mama yakoJF siyo sehemu ya porojo.
China Expat Population: Stats and Graphs - Sampi.coIn 2010, the most recent census data indicates there were 71,493 Americans residing in mainland China. This number represents the second-largest group of foreign nationals in mainland China, after South Koreans. According to Wikipedia, the number of Americans living in China has fluctuated, reaching a historic high of 110,000 in 2005. While accurate figures for more recent years are scarce, it's estimated that around 600,000 foreigners were living in China in 2018, with Americans comprising approximately 12% of that total.
Hahahaha hauna tusi jipya?kakazwe na mama yako
three American citizens who were previously detained in China have been repatriated to the United States. The White House confirmed the release of Mark Swidan, Kai Li, and John Leung, who had been imprisoned in China for several years. They were reportedly released as part of a diplomatic agreement with Beijing.USA Citizens Wanaingia China Kwa Njia Halali,kama Wawekezaji Na Wengine Kama Workers,Experts.
Tofauti Na Wachina Wengi Wanapita Kwa Njia Za Panya,kwenda Kufanya Umachinga USA.
Nmeielewa Mada Vizuri,ww Ndio Huelewi Maana Ya Kuzamia ?Naona umekurupuka kujibu mada ni
Hakuna hata raia mmoja wa Marekani amezamia China
Kuzamia sehemu maana yake siyo kuwa huana makaratasi unaweza kuzamia sehemu na ukawa unahishi kihalali.Nmeielewa Mada Vizuri,ww Ndio Huelewi Maana Ya Kuzamia ?
Wachina Wanaingia Illegally.
Lakini hawajazamia wala kuomba hifadhi ya ukimbizi wanaishi kihalali.Wewe uwa jinga sana harafu punguani hujui mambo mengi bora ungekaa kimya kuliko kujidhalilisha Wamarekani kibao wana njaa wapo China zaidi ya Laki moja wapo China.
Muongo halafu unamaumivi makali.Kuzamia sehemu maana yake siyo kuwa huana makaratasi unaweza kuzamia sehemu na ukawa unahishi kihalali.
China kuwa wamarekani zaidi ya laki moja wamezamia huko kutafuta maisha China.
Hahahahaha jinga kweli wewe.Lakini hawajazamia wala kuomba hifadhi ya ukimbizi wanaishi kihalali.