Hakuna Jambo gumu kama kupambana na mwenye Haki

Nimeicheki mkubwa naona taikon wa fasihi umeambulia kura 3 tu ya 4 nimekupigia mimi
 
Kweli na kupokonya haki ni mbaya sana.
 
Batili ni kukiuka sheria za asili at the end lazima zitakupanish
 
Hakika mwenye haki hadhulumiwi,Naamini ipo siku.....
 
Umenena Heriel. Ubarikiwe sana mtumishi.
 
Mungu ni Mwenye Rehema na Haki,Roho lazima ikuume unapopambana na Mwenye Haki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ