Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 21, 2026 #1 Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania? Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu.
Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania? Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu.
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,192 Reaction score 6,384 Feb 21, 2026 #2 Ni sahihi. Ifutwe hii na Taasisi nyingine zifuate.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 21, 2026 Thread starter #3 Blank page said: Ni sahihi. Ifutwe hii na Taasisi nyingine zifuate. Click to expand... Urasimu juu ya urasimu... Kama kwenye vyama kutakuwa na utata watu waende mahakamani wakapate haki zao huko. Yaani inawezekanaje ofisi isiyo na kikao itengue maamuzi ya vikao vya vyama?
Blank page said: Ni sahihi. Ifutwe hii na Taasisi nyingine zifuate. Click to expand... Urasimu juu ya urasimu... Kama kwenye vyama kutakuwa na utata watu waende mahakamani wakapate haki zao huko. Yaani inawezekanaje ofisi isiyo na kikao itengue maamuzi ya vikao vya vyama?
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Feb 21, 2026 #4 Allen Kilewella said: Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania? Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu. Click to expand... Naunga mini hoja, lakini iachwe kwanza iifute chadema Kisha ndo ifutwe
Allen Kilewella said: Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania? Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu. Click to expand... Naunga mini hoja, lakini iachwe kwanza iifute chadema Kisha ndo ifutwe
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 21, 2026 Thread starter #5 Dr wa Manesi said: Naunga mini hoja, lakini iachwe kwanza iifute chadema Kisha ndo ifutwe Click to expand... Nakubaliana na wewe iifute kwanza CHADEMA na yenyewe ndiyo ufutwe. Ila kabla haijafutwa basi iseme hadharani kuwa CCM haijasajiliwa kuwa chama cha siasa kwa kufuata Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.
Dr wa Manesi said: Naunga mini hoja, lakini iachwe kwanza iifute chadema Kisha ndo ifutwe Click to expand... Nakubaliana na wewe iifute kwanza CHADEMA na yenyewe ndiyo ufutwe. Ila kabla haijafutwa basi iseme hadharani kuwa CCM haijasajiliwa kuwa chama cha siasa kwa kufuata Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.