Hakuna jkt awamu ya tatu sasa mpaka 2016

kama mada inavyojieleza, hakuna awamu ya tatu kwa mwaka huu, kilichotokea ni tatizo la kiufundi, taarifa hizo zilikuwepo tangu mwezi wa saba.

haha haa yaani toka mwezi wa saba mpaka sasa september wasifanye EDITING?
 
Wataenda wa udom,Tia na vijikoleji msheeenzi cye wa udsm,sua,mzumbe,muhas wa2ache 2fanye ye2 2jekulitafuna vyema hili taifa la wadanganyka.. Ila na Vilaza wa Duce na Muce waende 2...nimemalizaa yaaani ctaki kubshana yaani Udsm tisha sana yaani.
kutokana na tarehe uliyojiunga humu Jf nashauri member wenzangu wakusamehe si kosa lako
Micharazo

Today 22:57
#18
MemberArray

Join Date : 18th September 2013
Posts : 13
Rep Power : 304
Likes Received1
Likes Given0
 
We ni gov,utakalia kusifia vyuo had lin...apa tunazungumzia jkt we unaleta usenge,utakuwa breed ww
 
kutoka jkon<>aliyechaguliwa kwnda jkt ataenda ila wengne chuo km ratiba ilvyo b'coz heslb nayo itafanya confirmation oct wk 2 hv nyie mnazan kwamba vyuo vngefungwa toka enz hzo ukchaguliwa NATIONAL SERVICE unaenda ila wengine huku wanapga xhule kama kawaida
 
kama mada inavyojieleza, hakuna awamu ya tatu kwa mwaka huu, kilichotokea ni tatizo la kiufundi, taarifa hizo zilikuwepo tangu mwezi wa saba.
sasa wewe unasema mpaka 2016 na walio chaguliwa kozi za miaka mitano inakuaje , kuna wengine wamepata scholaship za mozambique hadi miaka 6 itakuaje? haya mambo ya jeshi ni kuchanganyana akili tu
 
Ujue tunapokuja kukosea ni kulumbana kuhusu kipi chuo kizuri, muda huu sio muda wa kutambiana vyuo bt kushikamana na kupinga haya maamuzi, angalieni Kenya now kuna matatizo Raila na Kenyata wameungana kushirikiana nasitufanye hivyo jamani tuache kulumbana kuhusu ubora wa vyuo, tatizo likiisha ndo tuanze kulumbana bt now sio muda wake
 
kweli mkuu mimi wa UDSM lakin huu si mda wa kutambiana vyuo, tuungane kuna mdau anaongea na waziri wa elimu, nitatoa taarifa ya uhakika
 
Wataenda wa udom,Tia na vijikoleji msheeenzi cye wa udsm,sua,mzumbe,muhas wa2ache 2fanye ye2 2jekulitafuna vyema hili taifa la wadanganyka.. Ila na Vilaza wa Duce na Muce waende 2...nimemalizaa yaaani ctaki kubshana yaani Udsm tisha sana yaani.
hauna akili wewe kijana na kama unazo bac ufahamu wako ni mdogo kusoma udsm,sua,mzumbe na hivyo vyuo vingine siyo ndiyo kula nchi nenda kasome hicho unacho enda kusoma kwa hiyo miaka yako ndipo utakapo jua kuwa mtizamo wako ni fiction au real
 
duh! fanya hivyo wangu!! make hata jesh siend coz ckuxomea tz,nahic nimechoka na usumbufu niliokutana nao hapa nyumban tz!
 
is it a small reason!
 
halaf kwl bhana watu wanatoka nch za nje .itakuwaje
 
kweli mkuu mimi wa UDSM lakin huu si mda wa kutambiana vyuo, tuungane kuna mdau anaongea na waziri wa elimu, nitatoa taarifa ya uhakika

udsm my foot..nimesoma hapo but sijaona sababu ya kukuona bora kuliko vingine,,, khaaaaaaaaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…