faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
sema nini chuo ni boro kuliko jkt so me naenda chuo tarehe 12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mada inavyojieleza, hakuna awamu ya tatu kwa mwaka huu, kilichotokea ni tatizo la kiufundi, taarifa hizo zilikuwepo tangu mwezi wa saba.
kutokana na tarehe uliyojiunga humu Jf nashauri member wenzangu wakusamehe si kosa lakoWataenda wa udom,Tia na vijikoleji msheeenzi cye wa udsm,sua,mzumbe,muhas wa2ache 2fanye ye2 2jekulitafuna vyema hili taifa la wadanganyka.. Ila na Vilaza wa Duce na Muce waende 2...nimemalizaa yaaani ctaki kubshana yaani Udsm tisha sana yaani.
MemberArraysasa wewe unasema mpaka 2016 na walio chaguliwa kozi za miaka mitano inakuaje , kuna wengine wamepata scholaship za mozambique hadi miaka 6 itakuaje? haya mambo ya jeshi ni kuchanganyana akili tukama mada inavyojieleza, hakuna awamu ya tatu kwa mwaka huu, kilichotokea ni tatizo la kiufundi, taarifa hizo zilikuwepo tangu mwezi wa saba.
Ujue tunapokuja kukosea ni kulumbana kuhusu kipi chuo kizuri, muda huu sio muda wa kutambiana vyuo bt kushikamana na kupinga haya maamuzi, angalieni Kenya now kuna matatizo Raila na Kenyata wameungana kushirikiana nasitufanye hivyo jamani tuache kulumbana kuhusu ubora wa vyuo, tatizo likiisha ndo tuanze kulumbana bt now sio muda wake
hauna akili wewe kijana na kama unazo bac ufahamu wako ni mdogo kusoma udsm,sua,mzumbe na hivyo vyuo vingine siyo ndiyo kula nchi nenda kasome hicho unacho enda kusoma kwa hiyo miaka yako ndipo utakapo jua kuwa mtizamo wako ni fiction au realWataenda wa udom,Tia na vijikoleji msheeenzi cye wa udsm,sua,mzumbe,muhas wa2ache 2fanye ye2 2jekulitafuna vyema hili taifa la wadanganyka.. Ila na Vilaza wa Duce na Muce waende 2...nimemalizaa yaaani ctaki kubshana yaani Udsm tisha sana yaani.
kama mabom ya mbagala na g/mboto yalilipuka bila taarifa na kuna usimamizi hili litashindikana?Source plz
Hii inaweza kuwa kweli, achana na wajinga wanaokurupuka na kutukana, Logically i see the truth in your post, Yaani kama mtu akifuatilia kwa makini atagundua chuo ni kama kawaida, Kwanza wale wabishi kama SAUT ambao wamefungua na wanajua watu bado wapo jkt, unadhani watakubali kufunga chuo.. Pia vyuo vingine kama Udsm vinachukua wanafunzi wengi kutoka nchi za njee na sio tu form six, how will they stop them due to a small reason of going jkt
Hii inaweza kuwa kweli, achana na wajinga wanaokurupuka na kutukana, Logically i see the truth in your post, Yaani kama mtu akifuatilia kwa makini atagundua chuo ni kama kawaida, Kwanza wale wabishi kama SAUT ambao wamefungua na wanajua watu bado wapo jkt, unadhani watakubali kufunga chuo.. Pia vyuo vingine kama Udsm vinachukua wanafunzi wengi kutoka nchi za njee na sio tu form six, how will they stop them due to a small reason of going jkt
haha haa yaani toka mwezi wa saba mpaka sasa september wasifanye editing?
kweli mkuu mimi wa UDSM lakin huu si mda wa kutambiana vyuo, tuungane kuna mdau anaongea na waziri wa elimu, nitatoa taarifa ya uhakika
is it a small reason!