Hakuna kitu
humfanya
mwanaume awe
Makini zaidi kama
pale nywele za
sehemu nyeti
zikishikana na Uzi
wa kwenye
boxer....unaeza
dhani anatenganisha
nyaya za bomu
Tafadhari mods naomba wapeleke jukwaa la utani aisee.
Au zipu imbane kichwa cha uume wakati unaifunga kwa haraka. Na zipu iwe ya jinzi... hapo ndio utaona unyenyekevu wa mwanaume