mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Hivi Kile kitendo cha Januari makamba kusaini mkataba wa matrilioni ya fweza kwaajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ni mimi peke angu ninae kikumbuka?
Hakika kiwango hiki cha fweza ni kingi sana. Mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme.
Hakika mama ametuondoa kwenye zama za bwana yule dhalimu. Umeme ukikata anafoka na kwa amri yake unarudi.. leo mkoani petu ni Giza siku ya tatu ... wenye nacho na wasio nacho sale sale. Hakika kwa hili anaupiga mwingi hakika mitano tena ni yake. Mama hakuna kama wewe unaupiga mwingi.
Hakika umeturudisha enzi za lowasa kipindi cha kuzima umeme kupitisha mzigo wa magendo. Hakika zama zile jiji la Dar lilikuwa linapata muda wa mapumziko. Hakika mama unaupiga mwingi. Mama nani kama wewe.
Mama yule kijana uliyetuteulia hakika anafanya kazi. Mama sifa zote hizi ni zako.
Naitwa Mtwa kiongozi wa wahehe jamii forum.
079486281 (kwa uteuzi)