HAKUNA KAMA TANZANIA

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
2,128
Reaction score
2,867
Watanzania wanaokimbilia kuoa Kenya kukwepa gharama wabanwa
Thursday August 22 2019
Wakazi wa wilaya ya Serengeti wanaokwenda kuoa wanawake nchini Kenya kwa madai kuwa hutumia kiasi kidogo cha fedha kukamilisha sherehe wametakiwa kuwalipia vibali vya kuishi nchini Tanzania.
BY Anthony Mayunga, Mwananchi amayunga@mwananchi. co.tz
IN SUMMARY
Wakazi wa wilaya ya Serengeti wanaokwenda kuoa wanawake nchini Kenya kwa madai kuwa hutumia kiasi kidogo cha fedha kukamilisha sherehe wametakiwa kuwalipia vibali vya kuishi nchini Tanzania.
Advertisement
Serengeti. Wakazi wa wilaya ya Serengeti wanaokwenda kuoa wanawake nchini Kenya kwa madai kuwa hutumia kiasi kidogo cha fedha kukamilisha sherehe wametakiwa kuwalipia vibali vya kuishi nchini Tanzania.
Akizungumza leo Alhamisi Agosti 22, 2019 ofisa uhamiaji Wilaya ya Serengeti, Henry Kilangwa amesema wamebaini kata ya Manchira wilayani humo, wakazi wake wengi ni wa kabila la Wakisii na Wamalagori wanaotokea Kenya.
"Nimeishawaeleza walio na wanawake wa Kenya waje ofisini wawalipie Sh100,000 kwa miaka miwili sawa na Sh50,000 kwa mwaka ili waweze kuishi Tanzania,” amesema.
Amesema watakaoshindwa kufanya hivyo watasakwa popote walipo kwa maelezo kuwa kuishi nchini bila kibali ni kosa.
Amewataka raia hao wa Kenya kutojiingiza katika siasa, kutofanya juhudi za kupata kitambulisho cha uraia wala cha kupiga kura kwa maelezo kuwa hawana sifa kisheria
 
Wakenya wanapambana kuweza kuishi Ulaya ya Afrika mashariki
 
Ili wapate fulsa ya kuja kuja kusalimia mwisho wanakatikia kabisa
Kenya wakijua wewe ni mtanzania wazazi wa binti watafanya kila wawezalo kuhakikisha wanakuolesha visichana vyao, wanapapatikia sana vijana wa kitanzania sababu wanajua watoto wao ndio wameshatoka kimaisha hivyo
 
Nenda kwenye mada usilie huwez sikia hata siku 1 m bongo kufanya mipango kutaka kukaa Kenya ila ninyi munashusha posa ili mpenye TZ na inaweza ikawa mbinu ya kuingia magaidi pia bora serikali yetu ipo macho usiku na mchana wameliona hili
Ombaomba wenu wamejaa huku Nairobi na Nakuru kwa barabara na vibakuli na uko hapa unajitenkenya ukicheka mwenyewe. Malenge.
 
Ombaomba wenu wamejaa huku Nairobi na Nakuru kwa barabara na vibakuli na uko hapa unajitenkenya ukicheka mwenyewe. Malenge.
Hadi kwenye miji midogo midogo kama Murang'a na Kisii utapata magenge ya omba omba wa kitanzania. Wachuuzi nao ndio usiseme, niliwapata vijana kutoka Tanzania wakichuuza soksi na vests Isiolo County. Yaani hapo ni County moja tu kisha uingie Ethiopia na S.Sudan.
 
Hawa wajinga wanapenda kujidanganya sana na hii LDC yao wakati jamaa zao wanakimbilia kuishi Kenya kujimudu kimaisha. There's nothing worse than the lies you tell yourself .
 
Hawa wajinga wanapenda kujidanganya sana na hii LDC yao wakati jamaa zao wanakimbilia kuishi Kenya kujimudu kimaisha. There's nothing worse than the lies you tell yourself .
Unachekesha ww.
Yani omba omba wavivu wasiotaka jishughulisha ndio wanakimbilia huko.
Na sidhan km wanafika ht idadi ya watu wa ukoo yetu.
Ila nyie kenyans watu na akili zao na nguvu zao wanaona kuishi kenya is a hell.
Huwez kukuta mtu mwenye akili timilifu km zangu aje ishi kenya.
Noop hata Mjomba angu REEDEMER kheri afie maskin tz ila sio kibera.
 
Muranga, nilikuwa hapo!
 
Afadhali maskini wa Kenya anajua maisha yake haipo hatarini .Pale Tz ukiwa maskini unatafuta mtanzania mwenzako albino ili umchinje kinyama sababu ati kuondoa umaskini.
Nyie Tanzania ni maskini ,wauaji na warogi sana mimi sipendi hiyo paradiso yenu ya kifo na giza.
 
Waleta habar za five years ago utakua sio mzma ww
 
Nenda kwenye mada usilie huwez sikia hata siku 1 m bongo kufanya mipango kutaka kukaa Kenya ila ninyi munashusha posa ili mpenye TZ na inaweza ikawa mbinu ya kuingia magaidi pia bora serikali yetu ipo macho usiku na mchana wameliona hili
Umesahau wale omba omba wenu pale Tom Mboya street pia ni damu yenu!! Ni Watanzania hasili wanaishi Kenya na kazi yao kuu ni begging πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hawa wajinga wanapenda kujidanganya sana na hii LDC yao wakati jamaa zao wanakimbilia kuishi Kenya kujimudu kimaisha. There's nothing worse than the lies you tell yourself .
Sio kujimudu kimaisha peke yake, hata kielimu pia wanakimbilia Kenya. Nilisoma na Watanzania wengi sana shule ya msingi Migori. Am very sure baadhi ya wanaopiga kelele hapa walipata elimu ya msingi Kenya
 
Umesahau wale omba omba wenu pale Tom Mboya street pia ni damu yenu!! Ni Watanzania hasili wanaishi Kenya na kazi yao kuu ni begging [emoji23] [emoji23]
Hawafik ht ten percent ya raia wetu.
Hao ni wavivu tu wasiotaka kujishughulisha.
 
Sio kujimudu kimaisha peke yake, hata kielimu pia wanakimbilia Kenya. Nilisoma na Watanzania wengi sana shule ya msingi Migori. Am very sure baadhi ya wanaopiga kelele hapa walipata elimu ya msingi Kenya
Hao wanaosoma kenya hawafiki ht ten percent ya raia wetu.
Halafu huko watu wamefata elimu tu sio maisha.
Maana kenya mna maisha magumu hakuna atayependa ishi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…