HAKUNA KAMA TANZANIA

HAKUNA KAMA TANZANIA

Tunakuja kuona vipi Watanzania wanabugia kinyesi...umekula kiamshakinyuakinyesi?
Mngekua mnagombea kuja huku kama tunakula kinyesi wakati mnaondoka kwakukimbizwa haha labda huko kibera mnakula vinyesi vya wazungu ndo maana mnawafanyia hadi homework nyie vijakazi wa mabeberu
 
Kama mnazo pesa mbona aibu aibu ndogo ndogo hivi?? Ramaphosa hataki upuzi wenu mtaisoma namba.
Tutaikomboa hela tunazo
Hizi ni challenge za kawaida katika biashara baada mfurahie maendeleo yetu mnachukia nyie majirani vipi mnaogopa tunawapita kwa kasi ya 5G
 
Mkubali msikubali tutawapita tu na mkituchokoza hatuwapi chakula mtakufa njaa
Huu wimbo wa kutupita tulianza kuusikia na kina kadoda11 Geza Ulole Annael kitambo na hivi Sasa wamezeeka Hadi wakahepa JF bila ndoto zao kutimia...hata sampuli yako utapia njia hiyo.

Chakula tunanunua na mkikataa kutuuzia tunaenda Mexico, Zambia, Mozambique na hata Uganda...pia hicho chakula chenu kawapatieni wenzenu wanaokula kinyesi.
 
Huchoki kujipa moyo!!!???
Tz hakuna anayekula kinyesi.
Na kasi inaonekana sooner to soonest tutawapita
 
Tutaikomboa hela tunazo
Hizi ni challenge za kawaida katika biashara baada mfurahie maendeleo yetu mnachukia nyie majirani vipi mnaogopa tunawapita kwa kasi ya 5G
Hello mnazo na BWAGAMOYO iliwashinda, pipeline imewashinda, Kinyesi 1,2,3 , Strugglers gorge, SGR imewashinda pia, ATCL imekamatwa Mara ya pili...bure kabisa.

Hapo pa kutupita Nakubaliana nawe kabisaaa...mnatupita kwa mdomo kwa kasi ya 5G.
 
Hakuna kilichotushinda stiglers ndio ujenzi umeanza.
Pipeline ujenzi unaendelea .
SGR ushafika 70%.
 
Hakuna kilichotushinda stiglers ndio ujenzi umeanza.
Pipeline ujenzi unaendelea .
SGR ushafika 70%.
Picha ,a Strugglers gorge.
Picha za Pipeline.
Picha za SGR 70%

😂😂😂
 
Picha ,a Strugglers gorge.
Picha za Pipeline.
Picha za SGR 70%

[emoji23][emoji23][emoji23]
Thread ya hzo vitu zimewekwa.
Unataka tu kujifurahisha hapa na kujipa moyo we mwasiti.
 
Naomba kuuliza swali ,hao ombaimba naona wengi wao ni walemavu na vipofu ,je? Walifikaje huko Kenya
 
10%unawazimu...hko mpaka nafasi za ualimu mnaandika kwa mabango waliosomea kenya
Hao wanaosoma kenya hawafiki ht ten percent ya raia wetu.
Halafu huko watu wamefata elimu tu sio maisha.
Maana kenya mna maisha magumu hakuna atayependa ishi huko.
 
Uchumi wenu si ni wa wahindi na waarabu tu jomba...wengine ni maskini wa kutupwa...wala mihogo ninyi kwn hatuwajui
Usituite wajinga jibu hoja
Hakuna mu Tanzania wa kawaida anatamani kuishi Kenya kwenye shida labda awe na uwezo aje kufanya biashara nyie raia ni maskini wakutupwa Serikali yenu ndio yenye uchumi
Uchumi wa Kenya ni wa mabwenyenye vigogo wachache tu
Kama una Dada tuozeshe upate maisha
 
10%unawazimu...hko mpaka nafasi za ualimu mnaandika kwa mabango waliosomea kenya
ACHA UNAFIKI ULIOKITHIRI.
NAFASI ZA UALIMU HUTANGAZWA KTK RADIO NA TV STATIONS SIO MABANGO PUNGUZA UWAZIMU.
 
Bora sisi washindia mihogo kuliko ninyi wafa njaa
Nilisema unafurahia vifo halafu ukakanusha.

That's cold ,that' s very sadistic and inhuman kuona mwenzako akiteseka unapata pleasure.
 
Back
Top Bottom