Daaah kaka umeona jamaa anavyotukandia??!!!!Nilisema unafurahia vifo halafu ukakanusha.
That's cold ,that' s very sadistic and inhuman kuona mwenzako akiteseka unapata pleasure.
ACHA UNAFIKI ULIOKITHIRI.
NAFASI ZA UALIMU HUTANGAZWA KTK RADIO NA TV STATIONS SIO MABANGO PUNGUZA UWAZIMU.
Napinga.Sasa wapinga nn na wakati hyo picha ilisambaa hapa jf..tena imeandikwa kw wino mwekundu km sikosei...
Waliosomea kenya
Napinga.
Maana mashule makubwa yoooteeee uyajuayo ww kwa hapa Tz Yemeni,Almuntazir,Alharamain,Alhikma,Daarul Arqam,Al Hisan,Saint Anne,Saint Marrys,Saint Antonny n.k n.k yanatangaza nafasi za ualimu maredion na kwenye runinga.
Tusidanganyane.
Unanieletea link gani za kityotyoooo??!!!!!!Angalia wenzako hku kwanzahttps://www.facebook.com/255954351135233/posts/2597812810282697/?app=fbl
Angalia wenzako hku kwanzahttps://www.facebook.com/255954351135233/posts/2597812810282697/?app=fbl
Unanieletea link gani za kityotyoooo??!!!!!!
FB??!!!!!!
Hata haifunguki halafu siitumii mimi hzo mambo.
Wewe leta hapa reliable source nione vema.
Hyo ni kitu cha kawaida.Watu wafurika dar...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kw ajili ya mikopoView attachment 1194360
No its the other way round.Daaah kaka umeona jamaa anavyotukandia??!!!!
Halafu hii ni behind keyboard tu wala reality sio hvyo.