GE2025 Hakuna kampeni CCM ni makelele ya kumsifia mkuu wa nchi na kujikomba kwa mkuu wa nchi

GE2025 Hakuna kampeni CCM ni makelele ya kumsifia mkuu wa nchi na kujikomba kwa mkuu wa nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Nimewasikiliza wagombea wengi wa udiwani kupitia CCM hasa nafasi za ubunge na udiwani. Hakuna wanachonadi hiyo ilani yao na sera zao.

Watanadi vipi ilani ambayo kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru ni hayo hayo tu maahadi yasiyotekelezwa?

Kipi kipya? Kero za maji, afya na hata elimu ni zilezile tangu tumepata uhuru.

Wanachokitangaza majukwaani ni, Mama kafanya 1,2,3....
 
Mzanzibari mwanamke ni mweupe kichwani hawezi hata kuongea jukwaani. Huwa anajisahau anaongea taarabu tupu
 
Back
Top Bottom