Nimewasikiliza wagombea wengi wa udiwani kupitia CCM hasa nafasi za ubunge na udiwani. Hakuna wanachonadi hiyo ilani yao na sera zao.
Watanadi vipi ilani ambayo kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru ni hayo hayo tu maahadi yasiyotekelezwa?
Kipi kipya? Kero za maji, afya na hata elimu ni zilezile tangu tumepata uhuru.
Wanachokitangaza majukwaani ni, Mama kafanya 1,2,3....