hahahahaha... hiyo ni tetesi tuu... sasa kama wewe unaropoka shauri yako.. miaka michache ijayo ndo itakua hivyo.. sasa wale wanao kimbia jkt kwa nafasi ya kuchaguliwa.. watarudi kwa kuililia tena kwa kuhonga mipesa.. Chezea Serikali ww..... Wewe ni kama m‘mbu kwa serikali ukileta ubishi.. maisha yako hatarini.. Eti TUGOME.. mnajua wajeda wanahasira.. Kama hujui anzisha maandamano.. utachezea virungu..,mabomu ya machozi na maji ya kuwasha juu..