HAKUNA KAZI KAMA HUNA CHETI CHA JKT.. sasa JKT itageuka almasi.. nyie jidaini mnaikimbia..

johnshedo

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
98
Reaction score
6
hahahahaha... hiyo ni tetesi tuu... sasa kama wewe unaropoka shauri yako.. miaka michache ijayo ndo itakua hivyo.. sasa wale wanao kimbia jkt kwa nafasi ya kuchaguliwa.. watarudi kwa kuililia tena kwa kuhonga mipesa.. Chezea Serikali ww..... Wewe ni kama m‘mbu kwa serikali ukileta ubishi.. maisha yako hatarini.. Eti TUGOME.. mnajua wajeda wanahasira.. Kama hujui anzisha maandamano.. utachezea virungu..,mabomu ya machozi na maji ya kuwasha juu..
 
kwani hzo kazi ziko wapi? hz za kuomba watu 2000 then mnatakiwa wa3?
 
hahahahaha... hiyo ni tetesi tuu... sasa kama wewe unaropoka shauri yako.. miaka michache ijayo ndo itakua hivyo.. sasa wale wanao kimbia jkt kwa nafasi ya kuchaguliwa.. watarudi kwa kuililia tena kwa kuhonga mipesa.. Chezea Serikali ww..... Wewe ni kama m‘mbu kwa serikali ukileta ubishi.. maisha yako hatarini.. Eti TUGOME.. mnajua wajeda wanahasira.. Kama hujui anzisha maandamano.. utachezea virungu..,mabomu ya machozi na maji ya kuwasha juu..

Ha ha ha kwani kila mtu anasoma ili aajiriwe baadaye??
 
Back
Top Bottom