Majogoo yana amriwa kuipenda mitetea na kuilinda dhidi ya hatari yoyote, na kuipa mahitaji yote, na katika hali hiyo mitetea inalazimika kuyaheshimu majogoo kutokana na shughuli hatarishi, zinafanyika kwa ajili yao [mitetea].Na majogoo pia wawaeshimu mitetea naana bila mitetea majogoo yasingekuwepo.... wote jogoo na mitetea wanategemeana... wote wapaswa kuheshimiana
Hulalagi..😁Inaelekea kuna tetea aliyekupiga na kitu chenye ncha kali.
Sawa kabisa, tukizingatia kwamba hayo yote ni matokeo na juhudi za jasho la jogoo. Kama tukifikiri mwanzo wa yote, mtetea = shamba na jogoo = mbegu.Na ikumbukwe kuwa Jogoo alitokea kwenye yai, kwahiyo hilo yai linaweza kutoa mtetea au jogoo.