Hakuna kifaranga bila jogoo!

Hakuna kifaranga bila jogoo!

Manton

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,523
Kale katabia ka mtetea kujiona babu kubwa kisa kana taga yai, sasa ni wakati wa kukakumbusha kwamba yai lisilo na jogoo haliwezi kutotoleshwa kifaranga hata likae kwenye "incubator" siku mia elfu. Rai, mitetea heshimuni majogoo maana bila jogoo, mitetea isingeli kuwepo.
 
Na majogoo pia wawaeshimu mitetea naana bila mitetea majogoo yasingekuwepo.... wote jogoo na mitetea wanategemeana... wote wapaswa kuheshimiana
Majogoo yana amriwa kuipenda mitetea na kuilinda dhidi ya hatari yoyote, na kuipa mahitaji yote, na katika hali hiyo mitetea inalazimika kuyaheshimu majogoo kutokana na shughuli hatarishi, zinafanyika kwa ajili yao [mitetea].
 
Na ikumbukwe kuwa Jogoo alitokea kwenye yai, kwahiyo hilo yai linaweza kutoa mtetea au jogoo.
 
Na ikumbukwe kuwa Jogoo alitokea kwenye yai, kwahiyo hilo yai linaweza kutoa mtetea au jogoo.
Sawa kabisa, tukizingatia kwamba hayo yote ni matokeo na juhudi za jasho la jogoo. Kama tukifikiri mwanzo wa yote, mtetea = shamba na jogoo = mbegu.
 
Back
Top Bottom