KAOROGOMA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 511
- 773
Wasomi Wetu Wananishangaza Sana, Unakutwa Mtu Anajiita Mwanasheria Wakati Hata Baadh Ya Sheria Hazijui, Nina Mashaka Sana Kama Waafrika Tutaacha Uzembe Wa Kujisomea Maandiko Mbalimbali.
Sheria INARUHUSU MTU KUENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KAWAIDA KWA UMBALI WA MITA 200 KUTOKEA KITUO CHA KUPGA KURA ,NA SI KUKUSANYIKA PALE KULINDA KURA, ANAYERUHUSIWA KUKAA PALE KITUON KULINDA NA KUHAKIKI KURA NI WAKALA WA CHAMA HUSIKA;
MAONI: Natoa wito TAKUKURU wasambaze maafisa wao kila kituo cha kupigia kura na wakae ndani, maana hata mkikaa kundi nje eti mnalinda kura haisaidii kama wakala wenu ana matatizo chungu nzima, ada ya watoto, kodi, madeni, halafu apatiwe milioni 10, kubadili matokeo, tena anahamishiwa kwa Mpesa hapo chumbani sijui kama anaweza kukataa, na mtakaokuwa mita 200 ndo nashangaa mtajuaje hiyo, nakushauri Mbowe tumia akili hiyo.