PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Wasomi Wetu Wananishangaza Sana, Unakutwa Mtu Anajiita Mwanasheria Wakati Hata Baadh Ya Sheria Hazijui, Nina Mashaka Sana Kama Waafrika Tutaacha Uzembe Wa Kujisomea Maandiko Mbalimbali,
Sheria INARUHUSU MTU KUENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KAWAIDA KWA UMBALI WA MITA 200 KUTOKEA KITUO CHA KUPGA KURA ,NA SI KUKUSANYIKA PALE KULINDA KURA, ANAYERUHUSIWA KUKAA PALE KITUON KULINDA NA KUHAKIKI KURA NI WAKALA WA CHAMA HUSIKA,;
MAON; natoa wito TAKUKURU wasambaze maafisa wao kila kituo cha kupgia kura na wakae ndani, maana hata mkikaa kundi nje eti mnalinda kura haisaidii kama wakala wenu ana matatizo chungu nzima, ada ya watoto ,kodi, madeni, alafu apatiwe milion 10, kubadili matokeo, tena anahamishiwa kwa mpesa hapo chumbani sijui kama anaweza kukataa, na mtakaokuwa mita 200 ndo nashangaa mtajuaje hyo, nakushauri mbowe tumia akili hyo,
Jifunze kulewa sheria ya uchaguzi haimhitaji mtu kukaa na kufanya shughuli yoyote ikiwemo kuvaa alama yoyote inayotambulisha chama chochote cha siasa ndani ya meta 200 toka mahali au kwenye jengo ambalo Upigaji kura unafanyika
PART II
OTHER ELECTION OFFENCES
104.-(1) No person shall, within any buildings where; voting in an
election is in progress or at any place within the radius or two hundred
meters of any such building, wear or display any card, symbol, favour or
other emblem indicating support for a particular candidate in the election.
(2) Any person acting in contravention of this section shall be guilty
of an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding two
hundred shillings.