Elections 2015 Hakuna kifungu cha sheria kinachomruhusu mpiga kura kukaa nje ya mita 200 toka kituoni akilinda kura

Hakuna amani itakayo vunjika labda usema UKAWA mtavunja amani. Be more specific.

kwa sababu hizo mita 200 mtawafata na kuanza kuwapiga, we unategemea nini hapo, mkiwaacha mita 200 hawatafanya lao,
 
Kila Kituo Cha Kupgia Kura Aman Ilindwe, Kama Mnakataa Kutii Sheria Tutawasaidia Kuitii
 
Ukawa wapuuzi kweli
Sasa unalinda kura ukiwa nje wakati kura zinahesabiwa ndani
Upuuzi mtupu
Na uharo
Huu

Kwan hamna mawakala?

".......mtu akikuambia upige kura na ulinde kura ..mwambie mzee njoo tulinde wrote..."
Kanali kinana

Kama unaona ni upuuzi kwa wananchi kukaa umbali wa zaidi ya mita 200, kwa nini usiwaache waendelee kukaa huko? Unaogopa nini kama ulinzi wao hauna athali kwa anayetaka kuiba?

Waache waendelee na upuuzi wao wa kulinda kura zinazohesabiwa ndani pasipo kwenda kuwavuruga huko waliko!
 
Ndugu zangu hicho kifungu cha kutomruhusu mpiga kura kukaa karibu na eneo la kupiga kura baada ya kupiga kura nadhani kimewekwa kwa dharura ili kuepusha vurugu kutokana na hali ya kisiasa ilivyo kwasasa nchini. Kwahiyo wakati mwingine ni lazima malofa mjiongeze kiakili, ni lazima mkubaliane na hali ilivyo hata kama hamtaki!
 

Ndio maana tukawa na sheria, sio kwamba kila anayemka tu anatoa matamko kisa kashauriana na mkewe usiku anaanza kutoa miongozo isiyo na kichwa wala miguu. SHAME.
 
Dawa hakuna sheria inayoruhusu MTU kukaa mita 200. Sasa MKUU tuletee sheria basi inayokataza MTU Lukas mita 200
 
Si vema kuwataka watu walinde na wewe hulindi! Nakumbuka mauaji ya sowwto Arusha, mbowe alisema anao ushahidi lakini mpaka leo kimya.
 
Rais wa tz kwa mamlaka aliyonayo akisema kitu inakuwa ni sheria mzee

We kweli tutusa! Kama usemavyo ni Sawa kazi ya Bunge ni nini? Kwa nini sheria zote zitungwe bungeni na mwishoni rais ana assent? We ni popoma popoma popoma. Hivi ukiwa ccm akili huwa zinayeyuka?
 
Kwani sheria hiyo inakataza moja ya shughuli zako ambazo imekuambia unaweza kuendelea nazo kuwa na kulinda kura? Kama umeamua moja ya shughuli zako siku hiyo kuwa ni kulinda kura, je sheria inazuwia hilo?
Unakuwa Mlinzi bila mshahara,inachekesha
 
Si vema kuwataka watu walinde na wewe hulindi! Nakumbuka mauaji ya sowwto Arusha, mbowe alisema anao ushahidi lakini mpaka leo kimya.
 

sheria inatamka mtu anaweza kukaa meta 200 KUFANYA SHUGHULI YA KAWAIDA, je KULINDA KURA sio SHUGHULI YA KAWAIDA? mtoa mada una matatizo.
 
mkuu KAOROGOMA, jaribu kutumia hata akili kidogo uliyobaki nayo kichwani ili ikusaidie kufafanua baadhi ya mambo mtambuka.

sheria inaruhusu mtu kufanya SHUGHULI YA KAWAIDA nje ya meta 200 ya eneo la kupiga kura. sawa. je, KULINDA KURA sio SHUGHULI YA KAWAIDA?

naomba upambanue SHUGHULI ZA KAWAIDA ni zipi na zisizokuwa za kawaida ni zipi kwa mujibu wa sheria hiyo badala ya kutoa mapovu bila sababu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…