Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
Hakuna amani itakayo vunjika labda usema UKAWA mtavunja amani. Be more specific.
kwa sababu hizo mita 200 mtawafata na kuanza kuwapiga, we unategemea nini hapo, mkiwaacha mita 200 hawatafanya lao,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna amani itakayo vunjika labda usema UKAWA mtavunja amani. Be more specific.
MAWAKALA WANAKUWEPO pia takukuru wawepo, itakuwa si rahis sana kuhonga pande zote mbili
Are you serious? Hivi hii mitaa ya Kariakoo especially Congo ina mikusanyiko yenye kibali toka Police?
Ukawa wapuuzi kweli
Sasa unalinda kura ukiwa nje wakati kura zinahesabiwa ndani
Upuuzi mtupu
Na uharo
Huu
Kwan hamna mawakala?
".......mtu akikuambia upige kura na ulinde kura ..mwambie mzee njoo tulinde wrote..."
Kanali kinana
Ndiyo kuna Sheria inayozuia watu kukusanyika bila ya sababu, Serikali ndiyo yenye jukumu la kuamua ni ipi sababu inayoruhusiwa kukusanyika na wapi ni sawa kukusanyika na wapi siyo sawa, kama yalivyo mambo mengi tu!
Baada ya matokeo kubandikwa watu wanaruhusiwa kwenda kuyasoma kinachokatazwa ni kukusanyika kukaa na kusubiri!
Mwisho hii ni Amri kutoka kwa Raisi wa JMTZ ambayo kwa kawaida haipaswi kupingwa na binadamu yoyote yule ndani ya TanZania na wewe unapaswa kutii tu bila shurti, ni rahisi kihivyo tu!
Rais wa tz kwa mamlaka aliyonayo akisema kitu inakuwa ni sheria mzee
Unakuwa Mlinzi bila mshahara,inachekeshaKwani sheria hiyo inakataza moja ya shughuli zako ambazo imekuambia unaweza kuendelea nazo kuwa na kulinda kura? Kama umeamua moja ya shughuli zako siku hiyo kuwa ni kulinda kura, je sheria inazuwia hilo?
Wasomi Wetu Wananishangaza Sana, Unakutwa Mtu Anajiita Mwanasheria Wakati Hata Baadh Ya Sheria Hazijui, Nina Mashaka Sana Kama Waafrika Tutaacha Uzembe Wa Kujisomea Maandiko Mbalimbali.
Sheria INARUHUSU MTU KUENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KAWAIDA KWA UMBALI WA MITA 200 KUTOKEA KITUO CHA KUPGA KURA ,NA SI KUKUSANYIKA PALE KULINDA KURA, ANAYERUHUSIWA KUKAA PALE KITUON KULINDA NA KUHAKIKI KURA NI WAKALA WA CHAMA HUSIKA;
MAONI: Natoa wito TAKUKURU wasambaze maafisa wao kila kituo cha kupigia kura na wakae ndani, maana hata mkikaa kundi nje eti mnalinda kura haisaidii kama wakala wenu ana matatizo chungu nzima, ada ya watoto, kodi, madeni, halafu apatiwe milioni 10, kubadili matokeo, tena anahamishiwa kwa Mpesa hapo chumbani sijui kama anaweza kukataa, na mtakaokuwa mita 200 ndo nashangaa mtajuaje hiyo, nakushauri Mbowe tumia akili hiyo.
Si vema kuwataka watu walinde na wewe hulindi! Nakumbuka mauaji ya sowwto Arusha, mbowe alisema anao ushahidi lakini mpaka leo kimya.