Hakuna kinachokela kwenye daladala kama kukaa siti moja na mtu mnene(Bonge)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Wale wenzangu wanaotumia usafiri wa Uma watanielewa kuhusu hili,

Hakuna kero kama kukaa siti moja na mtu mnene(bonge) kwenye dala dala,maana siti yote utakuta kaenea yeye tu mpaka kwenye siti yako wewe unakaa tako moja tu,

inakera zaidi pale ukimwambia asogee anakutazama kwa dharau ni kero sana,

Kila mtu analipia nauli sawa na kila mtu ana siti yake lakini wao wanakula mpka nusu ya siti yako,kwa nini ukijona mnene(bonge) usikate siti ya watu wawili ili ukae kwa kujinafasi bila kukwaza wengine?
 
ukikaa na mwanamke mwenye chura kubwa hua unajisikiaje?
 
Si ajabu na yeye huwa anakuona kama una mkera tu.

Kiufupi hakuna binadamu asiye kera hata wewe kuna sehemu unawakera wengine.

Kikubwa tuvumiliane.
 
we unasema tu hivi ushawahi kukaa siti moja na mlevi tena mchaga??
Kudadeki tupe advise kidogo mkuu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…