Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Wale wenzangu wanaotumia usafiri wa Uma watanielewa kuhusu hili,
Hakuna kero kama kukaa siti moja na mtu mnene(bonge) kwenye dala dala,maana siti yote utakuta kaenea yeye tu mpaka kwenye siti yako wewe unakaa tako moja tu,
inakera zaidi pale ukimwambia asogee anakutazama kwa dharau ni kero sana,
Kila mtu analipia nauli sawa na kila mtu ana siti yake lakini wao wanakula mpka nusu ya siti yako,kwa nini ukijona mnene(bonge) usikate siti ya watu wawili ili ukae kwa kujinafasi bila kukwaza wengine?