Hakuna kinachokela kwenye daladala kama kukaa siti moja na mtu mnene(Bonge)

Sifanyi

Na tutaendelea kuwakera
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nitanunua Vitz kwa kuepuka kero yenu
 
Ndo maana naamini waafrika ni watu wenye roho mbaya sana..hapa naona mnasapotiana na kuonyesha ubaguzi na chuki za wazi kwa watu wanene..
 
Hahahhahah hii ilinikuta jana jamani yule baba mnene yaan alinibana
 
Ndo maana naamini waafrika ni watu wenye roho mbaya sana..hapa naona mnasapotiana na kuonyesha ubaguzi na chuki za wazi kwa watu wanene..
Siyo ubaguzi wala chuki why unibane kwenye siti yangu ?
 
Kibaya zaidi ukae pembeni karibu na sehemu ya uwazi, unaishia kukalia incha/pembe ya tako 1
 
ahahahahahahaha jana yamenikuta haya nimekaa kalio moja takribani saa moja na nusu karibu 60km approximate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…