Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

Wewe ni baradhuli na fedhuli.

Huyu Mfu aliwafundisha kutukana kila anayekosoa hoja yake, sasa mifano ndio haya majibu mnaona.

Wanajielewa kuna Corona na ndio imetoa mfano huu wa mazishi haya kwa wengine.
Sasa matokeo haya ya kuuaga mwili utayaona muda sio mrefu.
Hata Wachina mnaowaabudu ambao wamewaletea huyu mdudu wanajua joto yake walivyofanya sherehe ya mwaka mpya 2019.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…