Toka hii mitandao ya kijamii ije kuna watu wamekuwa wakiitumia kuhonga watu wenye njaa ili wawapigie debe kupitia hii mitandao.
Kwa mantiki hiyo utawakuta hao waganga njaa wakileta lugha za kipumbavu kama za kusema fulani atawale milele ili mradi tu kuhalalisha malipo yao. Very stupid.